mzee mkavu2
Member
- Dec 30, 2017
- 5
- 10
Tunataka kujua aina,siyo thamani yake na namba,unatuwekea DLV kwani sisi trafic,na suala la thamani ni kwamba unaweza kununua ist kwa m 18 ukiamuaIna thaman ya 18 mil,namba ni DLV *****
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunataka kujua aina,siyo thamani yake na namba,unatuwekea DLV kwani sisi trafic,na suala la thamani ni kwamba unaweza kununua ist kwa m 18 ukiamuaIna thaman ya 18 mil,namba ni DLV *****
Kwani gari ya biashara imenunuliwa kwa majani ya mgomba?Ushasema gar ya biashara mjomba
Kabsa mkuu,Kama Uchumi wako wa kifala usimpe ....hawakawiii kipigisha mzinga....we chakufanya mpe pesa ya kuzunguka na UBER siku nzima...kama kweli anashida ya usafir....otherwise uyo anataka akafanye showoff tu kwa rafk zake
NdiyoooUkimwi tena
Hahahahaha,..kabsaa mkuu...The Man's happiest moment..is the man's weakest moment.. Epuka kuahidi kitu ukiwa na furaha sana hasa ukiwa juu ya kifua cha mchepuko.
Ukimpatu utashangaa anaenda nalo salon na kuanza kujifajilia kapewa na baby wake tena jirani yake aliyekwenye drier akiwa mkeo.
Anatuona ss wakuda ila mkuda ni yeye anayehofia ndinga ila haofiii ukimwi .....
Hilo neno la mwisho litakugharimu upate mimba isiyotarajiwa.Bas sawa bibie
Mwambie huyo baby wako aje nimuazime ya kwangu akae nayo wiki!Bas sawa,...ila mi yangu hapana.