"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

"Bebi niazime gari leo, nina mizunguko flani". Hiki kikombe mnakiepukaje wadau?

Sawa tumeshajua una miliki gari na umewahi kumiliki tofauti tofauti siku za nyuma.
 
Kwanza sipend prado,..hhhaha,..hii ni 18mil car bro,..hzo baby walker tulikua nazo miaka kadhaa nyuma sana,..hahhhaahah,..pole sana
Ehhh hio 18m basi waelekea kutoa mtu roho...ukute premio lol
 
Ingekua dada ndo ana gari mwanaume anaazima am sure angempa as long as anampenda...mtoa mada hujampenda tu uyo mwanamke
 
Kuna thread humu ililetwa kwamba ukiwa na gari unatafuna wadada kirahisi sana...

Ndiyo maana na wewe umekuja kwa style hii...

Wamekusikia, watakufikia...

Cc: mahondaw
Hahah,mkuu smart,kwa bahat mbaya nna alergy na madem wa jf wenye fake IDs ..mi natafuna wa instagrm ambao nawaona kihalisia.hahah,,very sorry bro,..na nna watafuna kwel..
 
Mkuu,mi ni m1 ya watu ambao nna his nna ugonjwa wa ku perfect vtu,yaan mim naweza nkakuonyesha simu yangu niliyotumia nkiwa form 6,na usiamin jins navyotunza vtu,..mi nna viatu vyangu vya first yr chuo had leo,ila sivivai etc etc,yaan mi ni mtunzaj wa vtu balaa,..nmerith kwa mama angu,..so nahis atabonda bonda gar,yaan siwez mkuu,...hii ni kutoka moyon,..bora awe dume ila sio mdada,tena unakuta hajaendesha gar ana mda so anajikumbushia kwenye ndinga uliyoitunza na ikatunzika.assee,hapana,si mim
hata kama hawezi kuibonda,unampaje demu ndinga akapigie misele,mnyime akikuzingua mteme mkuu ndinga italeta demu mwingine
 
Back
Top Bottom