Junior Clinton Mr.
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 1,075
- 1,423
Inafichwa vipi wakati kila kitu kinaoneshwa wazi katika video??? Dar to Dodoma 726 kms for 7 Tsh Trilions hizo ni two phases, 3rd phase to Mwanza and 4th phase mpaka kigoma. Hizo two phases ni Pesa zetu wenyewe na Mkandarasi hajalalamika wala kazi haijasimama na kila mwezi tunapewa ripoti sasa wewe endelea kulia tu hapo usubiri 2019 uone kama tunatania. Tulipowaambia tumenunua ndege 7 si mlikataa?? Sasa ndege 3 sizimeshakuja na 3 nyingine zinaingia mwezi huu na nyingine moja December 2019. Mtakuja kupanda first ever fast electric train Tanzania ikifika 2019. Nyie bakini na hilo garimoshiSGR ya Kenya hatufichi. Picha zimetapakaa kila mahali.
Kwanini hii yenu ni maneno matamu tu? Propaganda za serikali twazifahamu vizuri.
Ilhali hii SGR yenu ata haijulikani scope yake, phase ngapi, capacity, timelines, funding etc. Hizi details zote zinafichwa kwa footnote.
Kazi tu kusema mnajenga kwa pesa yenu ilhali ata budget imejaa decifit kubwa. Pesa mtavuna wapi?
Sasa hivi hakuna mtu yeyote anaweza sema kwa uhakika SGR ya Tanzania itakamilishwa lini. Duniani nzima sijawai skia project fogothery kama hio.
Hapa Kenya, phase 2 tunajua kwa uhakika kwamba itakamilishwa 2019.
Phase 1 pia tulikuwa tunajua muda wake.