Bechtel is setting up Kenya for another $3 bln loan with $2 bln interest in 25 years

SGR ya Kenya hatufichi. Picha zimetapakaa kila mahali.
Kwanini hii yenu ni maneno matamu tu? Propaganda za serikali twazifahamu vizuri.
Ilhali hii SGR yenu ata haijulikani scope yake, phase ngapi, capacity, timelines, funding etc. Hizi details zote zinafichwa kwa footnote.
Kazi tu kusema mnajenga kwa pesa yenu ilhali ata budget imejaa decifit kubwa. Pesa mtavuna wapi?

Sasa hivi hakuna mtu yeyote anaweza sema kwa uhakika SGR ya Tanzania itakamilishwa lini. Duniani nzima sijawai skia project fogothery kama hio.

Hapa Kenya, phase 2 tunajua kwa uhakika kwamba itakamilishwa 2019.
Phase 1 pia tulikuwa tunajua muda wake.
Inafichwa vipi wakati kila kitu kinaoneshwa wazi katika video??? Dar to Dodoma 726 kms for 7 Tsh Trilions hizo ni two phases, 3rd phase to Mwanza and 4th phase mpaka kigoma. Hizo two phases ni Pesa zetu wenyewe na Mkandarasi hajalalamika wala kazi haijasimama na kila mwezi tunapewa ripoti sasa wewe endelea kulia tu hapo usubiri 2019 uone kama tunatania. Tulipowaambia tumenunua ndege 7 si mlikataa?? Sasa ndege 3 sizimeshakuja na 3 nyingine zinaingia mwezi huu na nyingine moja December 2019. Mtakuja kupanda first ever fast electric train Tanzania ikifika 2019. Nyie bakini na hilo garimoshi
 
Nimeona video moja pekee ya daraja moja. Na most of the video ni interview.
Kwani hii SGR yenu inajengwa maeneo ya 'no pictures allowed'?
Project zote za Kenya, ata si SGR pekee, picha zimejaa mtandaoni.

Everything else umeandika ni kelele. I wish ata pesa za ndege mliziweka kwa SGR ili tuone meaningful progress.
Otherwise, jua kwamba airlines in Africa are non-profit organizations. Mtaendelea kubail out hio yenu mpaka mchoke.
Already mwaka wa kwanza si ATCL ilitangaza hasara.
 
SGR ya Kenya hatufichi. Picha zimetapakaa kila mahali.
Kwanini hii yenu ni maneno matamu tu? Propaganda za serikali twazifahamu vizuri.
Ilhali hii SGR yenu ata haijulikani scope yake, phase ngapi, capacity, timelines, funding etc. Hizi details zote zinafichwa kwa footnote.
Kazi tu kusema mnajenga kwa pesa yenu ilhali ata budget imejaa decifit kubwa. Pesa mtavuna wapi?

Sasa hivi hakuna mtu yeyote anaweza sema kwa uhakika SGR ya Tanzania itakamilishwa lini. Duniani nzima sijawai skia project fogothery kama hio.

Hapa Kenya, phase 2 tunajua kwa uhakika kwamba itakamilishwa 2019.
Phase 1 pia tulikuwa tunajua muda wake.
Wewe uko sawa kweli au umeshapiga chang'aa
 
Waswahili walisema heri ya Mjinga kuliko Mpumbavu.mjinga ukimfundisha ataelewa kuliko mpumbavu.
 
SGR ya Kenya hatufichi. Picha zimetapakaa kila mahali.
Kwanini hii yenu ni maneno matamu tu? Propaganda za serikali twazifahamu vizuri.
Ilhali hii SGR yenu ata haijulikani scope yake, phase ngapi, capacity, timelines, funding etc. Hizi details zote zinafichwa kwa footnote.
Kazi tu kusema mnajenga kwa pesa yenu ilhali ata budget imejaa decifit kubwa. Pesa mtavuna wapi?

Sasa hivi hakuna mtu yeyote anaweza sema kwa uhakika SGR ya Tanzania itakamilishwa lini. Duniani nzima sijawai skia project fogothery kama hio.

Hapa Kenya, phase 2 tunajua kwa uhakika kwamba itakamilishwa 2019.
Phase 1 pia tulikuwa tunajua muda wake.
Yaani 485 km za SGR ndo kelele zote namna hii? Yet Tanzania built over 1800 km of the same diesel railway in 1960s n we r quiet.
 
SGR ya Kenya hatufichi. Picha zimetapakaa kila mahali.
Kwanini hii yenu ni maneno matamu tu? Propaganda za serikali twazifahamu vizuri.
Ilhali hii SGR yenu ata haijulikani scope yake, phase ngapi, capacity, timelines, funding etc. Hizi details zote zinafichwa kwa footnote.
Kazi tu kusema mnajenga kwa pesa yenu ilhali ata budget imejaa decifit kubwa. Pesa mtavuna wapi?

Sasa hivi hakuna mtu yeyote anaweza sema kwa uhakika SGR ya Tanzania itakamilishwa lini. Duniani nzima sijawai skia project fogothery kama hio.

Hapa Kenya, phase 2 tunajua kwa uhakika kwamba itakamilishwa 2019.
Phase 1 pia tulikuwa tunajua muda wake.
Mkuu you are absolutely very correct...
Mimi ni Mtanzania.

SGR ya Tanzania ni maneno matupu hakuna lolote linaloelezwa kwa ukweli wala linaloendelea.
Hata ukiuliza hapa evidence ya wapi construction ilipofikia mpaka sasa hakuna atakaekujibu..
Project ipo kwenye phase ipi hakuna jibu.

Nimesikia hata Kampuni ya wajenzi ya Turkey haipo site sababu hawajalipwa.

Ni ndoto za mchana kwamba hii SGR itajengwa kwa fedha za ndani..ni ndoto.

Tanzania Revenue Authority maximuly wanakusanya 14Tril kwa mwaka..7Tril ni za Mishahara, 9Tril ku Service Mikopo ya Ndani na Nje..total 16Tril.. Tayari hapo kuna 2Tril Deficit.. Wapi zinatoka pesa za kujenga SGR??

Shida kubwa Magufuli na Serikali yake ni waongo wa kutupa.

Wanakopa mikopo kwenye mabenki ya biashara without even getting permission from the Parliament halafu wanajidai pesa zetu..

Pumbafff.
 
My friend, ata kabla mradi wa SGR, Kenya was miles ahead of Tanzania in everything.
It might be the largest SINGLE project, but there have been uncountable projects of varying size since independence.
Huko Tz SGR ni kelele tu za Magufuli.
If your national budget (which is half of Kenya) is already in deficit, where is the money coming from.
Yes, kuna uwezekano kwamba mtajenga na pesa yenu, lakini mradi utamalizika 2050.
Did you just write 2050. Buda tazama reli tv youtube, uone venye unakuwa proved wrong.
 
Nimetazama hio reli tv.
Na sijaona ata centimita moja ya reli. The only meaningful thing is like 6 pillars.
Hio reli TV ni propaganda ya serikali. Kazi yake tu ni mainterview. If they are interested in the railway, they should show us the railway not interviews for 99% of the video.
 
Hata kwenye ndege ilikuwa hivi hivi. Lkn ndege zimekuja.
Muda ni hakimu mzuri sana. Subiri uone.
 
Realistically, ndege hatuexpect tuonyeshwe assembly process.
Lakini reli ni different. Unless unasema inajengewa kwingine alafu assembly ifanywe Tanzania baadaye.
 
Nimetazama hio reli tv.
Na sijaona ata centimita moja ya reli. The only meaningful thing is like 6 pillars.
Hio reli TV ni propaganda ya serikali. Kazi yake tu ni mainterview. If they are interested in the railway, they should show us the railway not interviews for 99% of the video.
 
Situation in Kenya. Phase one kamalizika kitambo saizi hizi hapa phase 2 kuelekea NAIVASHA kisha KISUMU kisha UGANDA kisha KIGALI
tapatalk_1530612572921.jpeg
tapatalk_1530596468883.jpeg
tapatalk_1530596464544.jpeg
tapatalk_1530596406754.jpeg
tapatalk_1530596359917.jpeg
 
Realistically, ndege hatuexpect tuonyeshwe assembly process.
Lakini reli ni different. Unless unasema inajengewa kwingine alafu assembly ifanywe Tanzania baadaye.

Even the Ke SGR, we didn't see the details of construction. No JF member was in situ 24/7. We JUST saw the output at different stages. Now for TZ just be patient. You'll see everything that you want to SEE.
 
Hivi unajua atua za ujenzi wa reli!! Ficha upumbavu.. ww tuliza mshono, ume ambiwa 2019 phase 1 ina isha ww unapiga makelele kama mkandarasi una mlipa ww
 
Mkuu you are absolutely very correct...
Mimi ni Mtanzania.

SGR ya Tanzania ni maneno matupu hakuna lolote linaloelezwa kwa ukweli wala linaloendelea.
Hata ukiuliza hapa evidence ya wapi construction ilipofikia mpaka sasa hakuna atakaekujibu..
Project ipo kwenye phase ipi hakuna jibu.

Nimesikia hata Kampuni ya wajenzi ya Turkey haipo site sababu hawajalipwa.

Ni ndoto za mchana kwamba hii SGR itajengwa kwa fedha za ndani..ni ndoto.

Tanzania Revenue Authority maximuly wanakusanya 14Tril kwa mwaka..7Tril ni za Mishahara, 9Tril ku Service Mikopo ya Ndani na Nje..total 16Tril.. Tayari hapo kuna 2Tril Deficit.. Wapi zinatoka pesa za kujenga SGR??

Shida kubwa Magufuli na Serikali yake ni waongo wa kutupa.

Wanakopa mikopo kwenye mabenki ya biashara without even getting permission from the Parliament halafu wanajidai pesa zetu..

Pumbafff.
Huu ndiyo ubaya wa kumeza bila kutafuna. Hivi unajua budget inatokana na Tax na non tax income!?
 
Hivi unajua atua za ujenzi wa reli!! Ficha upumbavu.. ww tuliza mshono, ume ambiwa 2019 phase 1 ina isha ww unapiga makelele kama mkandarasi una mlipa ww

Tumechoka kuambiwa. Tunataka kujionea kwa macho yetu.
Kwa sababu so far kile nimeona hakijafika ata 1% completion. Yet 2019 ni miezi sita kutoka sasa.
 
Even the Ke SGR, we didn't see the details of construction. No JF member was in situ 24/7. We JUST saw the output at different stages. Now for TZ just be patient. You'll see everything that you want to SEE.

Really. Don't pretend to have selective amnesia.
Kenya's SGR was analyzed from head to toe, even before construction started. Charts and diagrams comparing it to the Ethiopian SGR were posted online hundreds of times.
Kila mtu hadi watanzania wa hapa JF walikuwa wanaimba details kama wimbo. Kilometres, cost, cost per kilometre, number of stations, diesel locomotives etc.
Artist impressions za stations zilipostiwa hadi before constrution. Tukaonyeshwa progress had mwisho.

Actually, I would bet that Kenya's SGR was the most analyzed railway ever built in the world. Ata CNN waliandika uncountable articles about it.
 
Hata ulipoanza mradi wa mabasi ya mwendo kasi Dar maneno mengi kama hayo yalikuwepo lakini mwisho kimya.kwanza Kenya wanajenga kwa fedha ya mkopo ni tofauti na yetu tunayoijenga kwa fedha ya ndani ya wavuja jasho, speed ya malipo inaweza ikawa tofauti, pasipo na wasi tunajenga kwa fedha yetu hata kama ni kidogo kidogo tumeonyesha nia kwamba hata bila ya mikopo tunaweza ishangaza dunia.mungu ibariki TZ
 
Back
Top Bottom