Beckham, kuhusu mchezaji bora kuwahi kutokea

Beckham, kuhusu mchezaji bora kuwahi kutokea

Nimeona kapicha ka mbuzi, inamaana mesi ni mbuzi?
 
Mchezaji Bora Kuwahi Kutokea Wapi?
Hayo ni Mawazo Yake..Yaheshimiwe.!

Uzuri kwenye swali kuna Neno ' right now'..!
 
Kaulizwa kwa sasa ni mchezaji gani anafurahia zaidi kumwangalia akicheza ndio kajibu messi.. kwanza ajaulizwa mchezaji bora wa muda wote pia swali lina limitation yaani wachezaji wa sasa tu kwa maana iyo wakina gaucho, zizu, de lima, berkamp n.k hawahusiki hapo
Kwahiyo unataka kutuaminisha kagaucho na wenzie ni zaidi ya Messi?? Hivi mkiwa mnacomment huwa mnashughulika na nini!!
 
Winning one world cup sio?Angewini mara tatu je.

Usiangalie makombe, angalia performance ya mchezaji, statistics na records...hata mchanga ni mwingi zaidi ya diamonds, lakini diamonds ndie yenye thamani zaidi. Waingize wakina pele na ndugu zake wote na bado hakuna anaemfikia Muargentina huyu kwa mafanikio mtu mwenye mpira wake, na uzuri statistics zinajionyesha.

Messi✔
Diego Armando Maradona ✔
 
Pele
 
Back
Top Bottom