Beef kubwa kati ya almas mzaambele na wcb_wasafi

Beef kubwa kati ya almas mzaambele na wcb_wasafi

Tatizo la jamaa wa Madale ukisema ukweli wanakuita Hater....Ila huyu jamaa yao yuko Dhohofu in hali
 
Huyo Almas mzambele ,kwa wale waliowahi kuishi tunduma wanamkumbuka . Ogopa sana mtu ambae aliikimbia shule wakati kwao kuna uwezo ni wakuepukwa mno.
 
Wanaoshabikia hao wcb na
Hyo lebo yao wote n
Nguruwe tu maana wamezd
Kueneza ushoga

[Color= yellow]Triple A[/color]
 
Alifukuzwa baada ya kubainika kuwa kijana SIYO. Nakubaliana na WCB kwa ushujaa waliouonyesha kumfukuzilia mbali mtu huyo.
 
ndo nani huyo jamaaaa??Kumbe mondi kaajiri wengi eehhh,mpaka wengine wanatimuliwa ndo tunawajua daaaaaah
 
Huyu jamaa nakumbuka alikuwa mkereketwa sana wa lebel ya domo ya wcb_wasafi but navoona kinachoendelea kwenye mitandao inaonesha kuna mtafaruku mkubwa sana kati yao. Mara nyingi huwa naona anakoment kwa kuwaponda sana wasafi, kweli nimeamini rafiki yako wa leo ndo adui yako wa kesho siamini kabisa nachokiona.

Sent using Jamii Forums mobile app
2a32fb0a2225c66265e2c6d9e4cbf11b.jpg
Kumbe jamaa naye alikua muajiriwa wa chibuuuu,maskiniiii lidandasi limemkumba sasa afanye nn zaid ya kujichizisha ktk ile team Fulani ili apate mkate wake wa siku,ila mondi we mtu weweeee mmmmmmhhhhhh yani umeshikilia maisha ya mamia ya watu wanakutegemea mkate wao kyupitia kwakooo basi uwape walau vijipension kidogo wasifulie mazima
 
Back
Top Bottom