Luvanga1
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,026
- 1,706
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alikuwa anafanya kazi gani?Mzambele kufukuzwa wcb itakuwa ilimuuma sana, huenda alikua na ndoto nyingi na hazikutimia,
Maana post kibao anatoa povu tu, afu bahati ilivyo mbaya kwake jamaa hawa mjibu kabisa
Agiza fanta mkuuUkiona unasifiwa na adui yako, jua kabisa unachokifanya unakosea au sio sahihi lkn ukiona adui yako anakuponda basi jua unachokifanya ni sahihi na ni kizuri na ndio maana kina mkela kwani anafurahi kuona mabaya zaidi yakitokea upande wako
Kumbe jamaa naye alikua muajiriwa wa chibuuuu,maskiniiii lidandasi limemkumba sasa afanye nn zaid ya kujichizisha ktk ile team Fulani ili apate mkate wake wa siku,ila mondi we mtu weweeee mmmmmmhhhhhh yani umeshikilia maisha ya mamia ya watu wanakutegemea mkate wao kyupitia kwakooo basi uwape walau vijipension kidogo wasifulie mazimaHuyu jamaa nakumbuka alikuwa mkereketwa sana wa lebel ya domo ya wcb_wasafi but navoona kinachoendelea kwenye mitandao inaonesha kuna mtafaruku mkubwa sana kati yao. Mara nyingi huwa naona anakoment kwa kuwaponda sana wasafi, kweli nimeamini rafiki yako wa leo ndo adui yako wa kesho siamini kabisa nachokiona.
Sent using Jamii Forums mobile app
![]()
Kiki muulizeni harmorapa banaaaa,huyo jamaa kibarua kimeota nyasi tu na afu wala hatukua tukimjua kihiiivyoooo,na nimemcheki anaonekana ni mtu wa unafiki Fulani hiviii,kaenda kumchomoa Baraka kwa kiba hukooooo.Au mpango maaalum nn