BEEF: Vanessa Mdee na Shilole hali ni tete

Kingejulikana chanzo ndio unakuwa na usahihi wa kumlaumu mtu,lakini kama hujui kisa chao unamlaumu vipi Shishi beibi kama anakosea, labda (v.money) alimzingua kimya kimya kwenye makutano yao unajuaje....... ( wahenga wanasema wakimya ndio wanakuwaga na mtukio ya ajabu sana)
 
huyo kapurwa shilole anafuta kick aende English course alafu ndiyo arudi kupambana na Vee Money.
 
alikuwa anataka kik uyo shilole na kashapata kik maana ck nying hatujamuona kwenye madrama hana hadh ya kujifananisha yy na veemoney
 
alikuwa anataka kik uyo shilole na kashapata kik maana ck nying hatujamuona kwenye madrama hana hadh ya kujifananisha yy na veemoney
SASA HUYU SHISHI ANAWEZAJE KUJIFANANISHA NA V MANE HATA KIKI HAPATI ANAJIDHARAULISHA KWANZA KICHWANI MWEUPEEE SIJUI HATA KAMA ANAWEZA KUANDIKA HATA A.E.I.O.U😎😎😎😎

SAIZ YAKE KINA SNURA MUSHI LA 7 WENZAKE
 
alafu sasa kakoment iv we vee money ujipange sana mm ndo shilole kutoka igunga nimeaga cjaletwa na lory nimekuja na mbio za mwenge . we siwamagorofan na kingereza chako cha kuunga me ndo mtt wa mbwa sasa maninaa ndo shish bby kaandika ivyo sasa mm najiuliza shilole kwa ngel gan anayoijua anajifananisha na vee mwenzie yupo vzr nahic ndo anawafunika bongo fleva kwa kingereza
 
HAHAHA V ASIJIBU HUYU KACHAFU ATAJIDHALILISHA KWAKWELI
 
vitu viwili tofauti kabisa hapo
 
Bifu haijaanzia hapo rekebishaaa imeanzia nyuma kidogo! By the way Bifu yao haina Mvuto
Duh!,yaonekana unawafatilia sana hawa mabinti.haya tupe chanzo cha bifu ndg.
 
Shilole angeenda kwa Ras Simba pale week 6 anatema Lugha
 
Wote sura mbovu tu. Hawana hata sifa ya kuitwa wanawake

Jane bora ungenyamazia haya mambo wakayamaliza wenyewe wanaelewana hao ni shetani tu kapita mbele yao na kwa wasanii sio jambo la ajabu.Usipende kujishushia hadhi yako/wazee wako na sie.Nakuomba sana Jane yapo mengi ya kujenga unayoweza kuchangia.
 
Duu wazee wapi hao anao washushia hadhi ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…