Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera Vanessa Mdee, Shilole kaprove wewe ni mfano wa kuigwa
Nimetoka kutazama akaunti ya instagram ya Shilole anatoa maneno mabaya kwa Vanessa.
Mashabiki wanahisi anamshambulia Vanessa Mdee japo hajanyoosha maelezo.
Nilichokiona sijawahi kukiona instagram kwa muda mrefu.
Team zote zimeungana kumnyoosha Shilole kwa kumkosea adabu Vanessa. Team Diamond, Wema, kiba, Zari, Anaconda wote wameunganisha nguvu kumpigania V money.
Hii inaonyesha ni namna gani Vanessa anaheshimika na makundi yote na inatoa image nzuri sana kwa msanii kibiashara na kijamii.
Big up kwake hii sio rahisi kwa msanii zama hizi kukubalika na wote
Msikilize shilole hapa.

Ajakutana na ngoma ngumu...Shishi kama kafanya hivyo kazingua..Vanessa ni moja ya wasanii wakike wasio na makuu kabisa..Ukimsikiliza kwenye mahojiano yake mengi utagundua hilo..Na mara nyingi uwa anatoa support kwa wanawake wenzake..Huyu Shishi sijui amekula maharage gani
Vyuo vya kataDah! Naona wanaotaka tuwaone watoto wa Kishua wanamtetea mtoto wa Kishua mwenzao kabla hawajafahamu chanzo cha bifu lao ni nini! Watu wa Uswahilini tuna taabu sana; manake kila jambo "wa uswahilini hao... tatizo shule!" Lakini ukichunguza sana unakuta wenyewe ni wa Ubungo au Kimara; kama sio Tabata au Mwenget! Ukikuta wana digrii basi ni zile za kuunga unga... lakini watoto wa Uzunguni wao; wasomi wao wakati viazi tu!!
Hela inaingiaje sasa hapo kwa mfano?Chanzo V kuongelea kauli ya Shilole aliposema kuwa ye ndio msanii mzuri zaid wa kike bongo,so Shilole akajibu kwa hiyo post. Ila ukiangalia kwa undani ni kama vile celeb wetu wameamua kuigiza matukio yanayowapatia umaarufu kwenye mitandao ili kuingiza hela kama celeb wa magharibi walivyo,so kuna uwezekano hili liko staged kwa faida yao.
Ha ha ha ha ha ha jaman umetishaKhee??mbona hawa ni watu tofauti kabisa..huyu shilole si muimba ujinga ujinga??huyu shilole size yake si ni yule mwenye kuimba chura???mbona miujiza hii yani Chris brown akawe na ugomvi na AT..