BEEF: Vanessa Mdee na Shilole hali ni tete

BEEF: Vanessa Mdee na Shilole hali ni tete

Wanagombania kukokozwa ndindindi
 
Mikwara tu hana lolote...makof akapige wajinga igunga uko mjin ataishia segerea
 
Kama vp watafutiwe Pambano la masumbwi wataingiza hela ile mbaya aiseeeee
 
Shishi kwa kupenda cifa amuache vee born town kitambo mwnzie cio mtu wa kuuza sura insta km shishi kwa vtu vicvyo na maana anamlazimisha tyuu!!!!akwendreeee!!!
 
Kama vp watafutiwe Pambano la masumbwi wataingiza hela ile mbaya aiseeeee
Duu watu wapambe
808085db3098553e29459506e9642a91.jpg
 
Kuna ammenitumia clip za wote wawili...nimecheka hadi machozi...mmoja hajui kingereza mwingine hajui kuswahili...bila bila
 
Hiyo video nimeitazama,nimecheka mpaka basi.yaani ukomedi wa huyu shilole hata joti na mpoki hawafui dafu.
Hahahaha
acf2e4f2c6e65a0a61926673e81676b7.jpg
 
Back
Top Bottom