Mbavu zangu zimevunjika yalaaaah, full mifupa yeuewiiiiii auwiiiiiiiiKweli hapo wamekutana aliye mbele hajulikani,huyu mwingine full mifupa na yule mwingine naye full kuvua pichu kwa kila anayemsogelea.
Shikamoo samsun! Yaani sisi watu wa ushenzini ambao tupo categorized kwamba hatuna elimu tuna taabu sana toka kwa watoto wa Uzunguni! Yaani kila linapotokea jambo wagomvi ni sisi kwahiyo watu huwa hawajishughulishi kutafuta source ya mtafuruku na kinyume chake urukia kufanya conclusion! Ajabu ni kwamba; hata hao wanaojifanya ni wa Uzunguni (ingawaje majority nao ni wa Uswahilini) nao ni full Uswahili!Kingejulikana chanzo ndio unakuwa na usahihi wa kumlaumu mtu,lakini kama hujui kisa chao unamlaumu vipi Shishi beibi kama anakosea, labda (v.money) alimzingua kimya kimya kwenye makutano yao unajuaje....... ( wahenga wanasema wakimya ndio wanakuwaga na mtukio ya ajabu sana)
Wazee wangu gani sasa ninaowashushia hadhi kwa mfano?Jane bora ungenyamazia haya mambo wakayamaliza wenyewe wanaelewana hao ni shetani tu kapita mbele yao na kwa wasanii sio jambo la ajabu.Usipende kujishushia hadhi yako/wazee wako na sie.Nakuomba sana Jane yapo mengi ya kujenga unayoweza kuchangia.
HAHAHA AATAFELI TU AKILI INA MOSHI TEYARIShilole angeenda kwa Ras Simba pale week 6 anatema Lugha
Ha ha ha!!!! Mweee!!! Aisee huyu atakuwa anafanya makusudi jamani, mbona hata kiswahili huyo mpare Vee angemuelewa tu. AsijichosheHa ha ha, am telling me!
Hapo kwenye waliokula vibao namwona dogo Nuhu.
Sometimes anafanyaga makusudi kuwazingua watu! Kwa mfano ile video ambayo ilisambaa akisema "Sure boy Shishi baby here...!" Ukiangalia ile video unajua kabisa anafanya makusudi tena huku akicheka!Ha ha ha!!!! Mweee!!! Aisee huyu atakuwa anafanya makusudi jamani, mbona hata kiswahili huyo mpare Vee angemuelewa tu. Asijichoshe
Shishi kama kafanya hivyo kazingua..Vanessa ni moja ya wasanii wakike wasio na makuu kabisa..Ukimsikiliza kwenye mahojiano yake mengi utagundua hilo..Na mara nyingi uwa anatoa support kwa wanawake wenzake..Huyu Shishi sijui amekula maharage gani
Kweli elimu imepita juu hapo, sasa huu si ni ushahidi mzuri tu Polisi kwa chochote kita kacho mpata Vanessa.IM TELLING ME
UMEONA EEH HALAFU ATAKUJA KUSEMA KAONEWA HII SHERIA YA MITANDAO WATU BADO HAIJAWAINGIIA FRESH NADHANI WALE WABAKAJI WA DAKAWA ITAKUWA IMEANZA KUWAINGIA AKILINI KISHA NAONA WAMETUPA FUNDISHOKweli elimu imepita juu hapo, sasa huu si ni ushahidi mzuri tu Polisi kwa chochote kita kacho mpata Vanessa.
AKINYANYUA TUU SHISHI MATATANIhapa hakuna maharage wala njegere na malezi na makuzi. Shishi na V money ni kama maji na mafuta. Sina wa kumlaumu hapa. Shishi ni kitu kingine na V money habari nyingine. Shishi haelewi ndio maana kabwabwaja IG, nina imani Vmoney hatanyanyua mdomo wake.
Yaani ile mimi ndio iliniacha hoi kabisaa. Kumbe ni "Sure boy....."😱. Nilishani alikuwa anasema "It's your boy..."Sometimes anafanyaga makusudi kuwazingua watu! Kwa mfano ile video ambayo ilisambaa akisema "Sure boy Shishi baby here...!" Ukiangalia ile video unajua kabisa anafanya makusudi tena huku akicheka!
HYaani ile mimi ndio iliniacha hoi kabisaa. Kumbe ni "Sure boy....."😱. Nilishani alikuwa anasema "It's your boy..."
Hahaa! Ni Sure boy....!Yaani ile mimi ndio iliniacha hoi kabisaa. Kumbe ni "Sure boy....."😱. Nilishani alikuwa anasema "It's your boy..."
Hahaah. ..Nimeipenda MkuuKhee??mbona hawa ni watu tofauti kabisa..huyu shilole si muimba ujinga ujinga??huyu shilole size yake si ni yule mwenye kuimba chura???mbona miujiza hii yani Chris brown akawe na ugomvi na AT..
Umeongea ukweli nawashangaa wanao sema v.level nyingne sijui wanamaanisha kuimba kiingereza au?.….wote ni hamnazo acha wapambane tu!Wote wapumbafu , wavaa uchi kwanza Afu mwingine Mkubwa kiumri kiakili zero, Education matters.