BEEF: Vanessa Mdee na Shilole hali ni tete

Vanessa I'm telling me lazima utafute bodyguard. Huyu mama akikukamata andika murder case.
 
Hawa watu hawana tatizo lolote, ni stunts tu za kistar.

Response ya watu ndio inazidi kudhihirisha ni jinsi gani watu wana mambo ya kikuda.. Lijitu halijawahi hata kutoa comment kwenye pages zao kuwapa hope juu ya harakati zao na wamezoea vi comment kidoooogo hata habari zao za kikazi haziletwi sana humu zikiletwa wachache wanaoshobokea.

Afu leo wamekuja na hii stunt, kila mtu anakuja na UPUMBAFU wake, SHENZ TYPE.
 
Kiki hizooo wala msipoteze muda wenuu
 
Nimesikia kwenye stori 3 za ea radio shilole akijinasibu kumpiga v-money akimsogelea,yaani siku akimshika v-money atajuta manake atamchapa vibao mpaka basi.
 
Shishi kama kafanya hivyo kazingua..Vanessa ni moja ya wasanii wakike wasio na makuu kabisa..Ukimsikiliza kwenye mahojiano yake mengi utagundua hilo..Na mara nyingi uwa anatoa support kwa wanawake wenzake..Huyu Shishi sijui amekula maharage gani
Ajakutana na ngoma ngumu...
 
Vy
Vyuo vya kata
 
Kubali kataa kibongo bongo shishi baby Ana chati kuliko vee money.kama unabisha waandaliwe show nani atammeza mwenzake.
 
Chanzo V kuongelea kauli ya Shilole aliposema kuwa ye ndio msanii mzuri zaid wa kike bongo,so Shilole akajibu kwa hiyo post. Ila ukiangalia kwa undani ni kama vile celeb wetu wameamua kuigiza matukio yanayowapatia umaarufu kwenye mitandao ili kuingiza hela kama celeb wa magharibi walivyo,so kuna uwezekano hili liko staged kwa faida yao.
 
Shilole mpuuzi sana maisha haya mtoto wa kike unajisifia kupigana!

V ni level nyingine Shilole inabidi akubali matokeo tu.
 
Hela inaingiaje sasa hapo kwa mfano?
 
Khee??mbona hawa ni watu tofauti kabisa..huyu shilole si muimba ujinga ujinga??huyu shilole size yake si ni yule mwenye kuimba chura???mbona miujiza hii yani Chris brown akawe na ugomvi na AT..
Ha ha ha ha ha ha jaman umetisha
 


Msanii Shilole ametangaza vita na msanii mwenzake Vanessa mdee, na kusema kuwa asiombe kukutana naye popote.

Akiongea na East Africa TV baada ya kupigiwa smu kujibu tuhuma hizo, Shilole amesema amechukizwa na kitendo cha Vanessa kuandika mambo mabaya juu yake na kupost istagram, hivyo ajiandae kwa lolote.

“Ukiona hivyo ujue kimenuka, kaniongelea shit mi sijapenda, tena mwambieni nikikutana naye atanyooka”, alisema Shilole na kukata simu.

Hapo awali ilisambaa post kweny instagram iliypostiwa na Vanessa Mdee akimshambulia Shilole, na ndipo Shilole akapost na video kabisa akisema asioombe akutane naye kwani vibao vyake havielezeki.

“Vanessa nimepata ujumbe wako wa Kiingereza japokuwa nimeusoma kwa tabu sana lakini nimepata baadhi baadhi,” anasikika akisema kwenye video hiyo.

“Listen to me my sister, you see me nah, mimi mwenzio nimezaliwa Igunga, nimezoea kula ugali, sijazoea kula chips mayai kama unavyokula wewe. So mama ninapiga kuliko maelezo, usiombe kukutana na mimi, au waulize wenzio waliokutana na vibao vyangu wanaweza kukuambia kwamba kibao cha Shishi ukikutana nacho lazima uombe Panadol,” anaonya Shishi.

“Aisee bibi, bibie, bibie, I am telling you yaani usiombe kukutana na Bi Shishi, yaani usiombe ukakutana na mimi tit for tat, yaani mama Kiingereza chako nimekiona, jipange, I am telling you, If I see you, me and you.” Shilole alimaliza.

 
namkubali sana shilole kwasababu sio mnafki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…