BEEF: Vanessa Mdee na Shilole hali ni tete

Mbona ameshamjibu sasa.
Wote wale wale.
 
Huyo Shishi Mpumbavu,
Vanessa Mpumbavu,
Wanaomshambulia Shishi Wapumbavu,
Coz badala ya kujua chanzo ni nini watu wanarukia mara level, mara elimu, mara kingereza,
Mnasahau kua huyo asiye na elimu na huyo mwenye elimu wote wanafanya kazi moja, wanameng'enyua viuno ndio wale.

Shilole karecord video,
Vanessa nae kamjibu,
So mpumbavu kamjibu mpumbavu kwenye upumbavu.

Na wewe mtoa mada leta mambo yaliyokamilika ndio tujue tunahukumu vipi.
 
nimem down grade v money kwa hilo... angekaa kimya ningeuona wa maana...
Hapa ndio tujue kuna reason behind,
Shishi asingekurupuka tu lazima kuna chanzo na V.money asingemjibu shit,
Lazima anajua chanzo.
 
Haaa haa haa haa bonge la point umetoa mkuu
 
Kabla hamjashika upande inabidi tujue sababu ya shishi kusema hvy COz hata kama Ana shida zake sidhani kama ameamka tu na kusema hayo
Huwez jua vee kasema nn mpk ukamuudhi
Hapo ndoo tutaanza kuona great thinkers wakijisajili kwenye Team Shilole na Team Vanesa .

Yaani Great thinker pembeni ya ID yako Mods wamekupa U JF EXPERT MEMBER unajiita
team ......
mhhhh hapo kazi ipo.


Maoni yangu
Nadhani kuna haja ya hizi team kuzisajili ligi kuu ya vodacom.
 
shishi toka aachene na mziwanda.Kapoteza muelekeo.
Shishi kama kafanya hivyo kazingua..Vanessa ni moja ya wasanii wakike wasio na makuu kabisa..Ukimsikiliza kwenye mahojiano yake mengi utagundua hilo..Na mara nyingi uwa anatoa support kwa wanawake wenzake..Huyu Shishi sijui amekula maharage gani
 
Kifanyike nini wasanii wa Tanzania wawe na Upendo kati yao na kusaidiana.
 
Wamepatana lini? Shishi kasema atamdunda vanessa jumapili. Mi nasubiri kuona ngumi tu!
 
Ha ha ha ha.. Niliona zile clip za video zao wakichimbana beat ikabidi nicheke sana.. Yaani unaona kabisa hapa wanatafuta kick & publicity.. Sadly kuna watu wanaamini..
 
Mmmmhh nadhani vmoney alishavuka hiyo stage ya kutafuta kiki
 
Apanga kumuharibia kwenye shoo yake itakayofanyika hivi karibuni
 
Muwe mnaeleza vizur wakuu...nani na kapanga kumualibia nani na ktk shoo ipi??
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…