Jay Moe kwenye nyimbo ya Jipange kuna line anasema "amani kaka voda milionea, mwambie mdogo wako aache poda ale mmea" akimchana Langa. Langa nae kwenye nyimbo yake ya Gangster kuna line anasema " amani kwa kaka voda milionea mwambie mo aache ushoga na umbea" kwenye nyimbo ambayo langa alitangaza kuacha poda sina uhakika na jina jina kifo, jela. Langa ananmstari "amani kwa kaka voda milionea, mwambie mo nishaacha poda na pia sili mmea"mkuu hivi beef ya Langa na Jaymoo ilisababishwa na nini hasa au ni baada ya Jaymoo kutaja majina ya ya wasanii wanaotumiaa Sembe??