Beef Zilizowahi kutikisa tasnia ya Bongo Fleva

Beef Zilizowahi kutikisa tasnia ya Bongo Fleva

Ni kweli mkuu RIP FATHER P.
Hizo ni bifu za Bongo Flava,hamjazungumzia bifu za Hip Hop,bifu za maana zilikuwa arusha,Waturutumbi,Watengwa chini ya Umbwa Jombii Chindo man,N2N na River camp sojaz.Wategwa walikuwa wanakaza sana na uzalendo wa Arusha yao
 
Kwani lazima ucomment??? kama huna cha kuchangia acha ..

Wimbo wa 3-0 wa TMK Halisi ni kuonyesha bifu na TMK Wanaume Family. Lakini pia kulikuwa na bifu kati ya TMK Wanaume Family na East Coast Team!
 
Hivi wale majamaa wa arusha wanaopiga hip hop ngumu na walikuwa wanapata show za majuu yule mwenzao kupigwa kisu na kufa siyo bifu ilikuwa?

Kundi ni X-Plastaz, mshkaji aliitwa Faza Nelly. Nilivyosikia, ni Faza alikuwa akiamulia ugomvi wa watu. Haikuwa na uhusiano na muziki.
 
Eeh wabongo kwa kutunga maneno ya ajabu na uchawi tunaongoza, aya uyo fast jet ndo nani? Yan nimecheka kiama
Haa haaa mm mwnyw nmecheka,sana mtu anageuzwa ndege
 
Back
Top Bottom