Beef Zilizowahi kutikisa tasnia ya Bongo Fleva


Hahahaaaa hiii imetulia vibaya mnoooo
 
Hii ya Nikki wa pili na Nikki Mbishi Inawezekana ikawa ilisababishwa na jina la Nikki?? maana kuna nyimbo ya Nikki Mbishi anauliza iweje kuna Nikki wa Pili wakati Nikki wa kwanza hajulikani??

Hahahahahaaaaaaaahaaa
 

7.Lady jay dee vs Mwina Kaduguda.
 
Hii mara nyingi huanzishwa na Niki mbishi kwa ubishi wake na kupenda sifa bahati mbaya mwenzie hairespond kihivyo.

Ila ya Tamaduni na Weusi naona Moko wa miujiza bado kaikomalia juzijuzi tu kawapa madongo tena weusi.

tamaduni ni noma kuanzia baba malcom one songa p the mc kadgo nash mc na wengineo tafuta ukipanda dau
 
Mkuu hii beef ya Langa na na Fid Q mbona ndo kama naisikia hivi ilikuwaje kuwaje hii??

Few weeks kabla Langa hajafariki alikuwa anam-diss Fid.Q kuwa alitumia beat ya "Sihitaji marafiki" ambayo Langa alidai ilikua ni yake na Fid aliitumia bila ruhusa yake, ila aliyeitengeneza(J-Murder) alisema Langa hakuwa ameilipia, ningekuonesha post za Facebook alizokua anazipost Langa siku chache kabla hajafariki jinsi alivyokua anamdiss Fid.Q, lakini sizioni tena perhaps zimefitwa ila account ipo.
 
Sugu Vs Afande Selle
Chid Beenz Vs Prof J
Dully vs TID
Banza Stone vs Ally Choki
Khadija Kopa Vs Nasma Khamis
Mbaraka Mwinshehe vs Juma Kilaza
 
Msanii gani ambae umeshamuona akiwa pamoja na Jide zaidi ya Pro Jay? Jide hanaga time na wasanii wenzake anaishi kisuperstaa.

Jide aliwahi kuimba wanaume kama mabinti, nayo ilikuwa bif fulan sjui na nani vile, ni kitambo sana wadau!
 

mwanza mwanza hiyo
 

Mkuu hapo nimekupata uzuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…