Lalo Salamanca
JF-Expert Member
- Dec 9, 2012
- 1,532
- 1,118
Navojua mkuu Hong25: baada ya Jay moe kumwambia Langa aache poda ale mmea Langa alimwambia Juma kuwa aache ushoga na mmea .
Hahahaaahaaa....hiyo michano yao ipo juuu... nimeipenda balaaaaaa
Hawana bifuwadau,baada ya J mo kumtoa mwanafa sikuwahi kusikia tena kollabo ya hawa jamaa,vipi nao walikuwa na beef
Soggy doggy vs Afande Sele.
Fid q vs Rado.
babu seya vs fastjet.
Jide vs Ray C.
Mr II vs Mawingu.
Ngwair RIP vs Mchizi Mox.
Chameleone vs Bongo Records Lebo.
Nature vs Rugay link Sintah.
Salama vs Kikosi Block 41.
TMK MAJITA vs TMK WANAUME.
Langa RIP vs Jay Moe.
Qchief vs Jaffaray.
Steve 2K .RIP.vs Castro Ponela.
Producer Amba vs Jeez Mabov
Yapo mengi kuna mambo nafanya ntarudi kumalizia.
Ivi jide na ray c haziivagi eeh? Maan sijawah kusikia wakiwa wote japokuwa waliwah kushirikiana kweny nyimbo moja iv
Soggy doggy vs Afande Sele.
Fid q vs Rado.
babu seya vs fastjet.
Jide vs Ray C.
Mr II vs Mawingu.
Ngwair RIP vs Mchizi Mox.
Chameleone vs Bongo Records Lebo.
Nature vs Rugay link Sintah.
Salama vs Kikosi Block 41.
TMK MAJITA vs TMK WANAUME.
Langa RIP vs Jay Moe.
Qchief vs Jaffaray.
Steve 2K .RIP.vs Castro Ponela.
Producer Amba vs Jeez Mabov
Yapo mengi kuna mambo nafanya ntarudi kumalizia.
Hapo NAMBA TATU WIJAPAELEWA MIEπ±π±π±π±π±:sly::sly::sly::sly::sly:
Amba na geez mabovu walikuwa na beef ya kitu gani mkuu?
.
elmagnifico Ni hivi soon baada ya GEEZ MABOVU kutoa MTOTO WA KIUME hiyo single ili hit sana sasa aliporudi Iringa akataka kurekodi wimbo bure kwa Amba akidai kuwa ata P-Funk anamrekodia bure wakati yeye (P) ni Superdupa itakuwaje atoe pesa kwa upcoming Producer ambae ni Amba hapa ndipo Mabovu akatishia kumpga Producer Amba.
RIP GEEZ MABOVU HAKIKA WEWE NI MSHUMAA ULIOZIMIKA WAKATI BADO UNAHITAJIKA.

Hivi FA na Inspector walikuwa na beef?? au Inspector alikuwa tu anatafuta namna ya kutoka??
Juma nature na Sintah....