Beef Zilizowahi kutikisa tasnia ya Bongo Fleva

Beef Zilizowahi kutikisa tasnia ya Bongo Fleva

Navojua mkuu Hong25: baada ya Jay moe kumwambia Langa aache poda ale mmea Langa alimwambia Juma kuwa aache ushoga na mmea .

Ni ushoga na mmea au ushoga na umbea, hahahaa ngoja niiskilize tena Gangstar ya Langa, I liked that boy ila ndio hivyo The good die young,
 
Last edited by a moderator:
Hahahaaahaaa....hiyo michano yao ipo juuu... nimeipenda balaaaaaa

langa aliendelea zaidi kwa kuongezea hizi line:

you know how we treat a snitch, leave him with a stitch (mshono), treat him like a bitch, then throw him in a ditch (shimoni)
 
Usiwe mjinga ukanipinga,sista p alifia wapi_fa

Sio lazma uwe na hoja,nipinge tu kama inspector__Fa
 
Hivi wale majamaa wa arusha wanaopiga hip hop ngumu na walikuwa wanapata show za majuu yule mwenzao kupigwa kisu na kufa siyo bifu ilikuwa?
 
Dully vs Tid,lilikuwaga bifu kubwa sana enz hzo..

Tid vs Ismail,sababu ilikuwaga wimbo wa Nyota yako..
 
Soggy doggy vs Afande Sele.
Fid q vs Rado.
babu seya vs fastjet.
Jide vs Ray C.
Mr II vs Mawingu.
Ngwair RIP vs Mchizi Mox.
Chameleone vs Bongo Records Lebo.
Nature vs Rugay link Sintah.
Salama vs Kikosi Block 41.
TMK MAJITA vs TMK WANAUME.
Langa RIP vs Jay Moe.
Qchief vs Jaffaray.
Steve 2K .RIP.vs Castro Ponela.
Producer Amba vs Jeez Mabov
Yapo mengi kuna mambo nafanya ntarudi kumalizia.

Umetisha!
 
Usiwe mjinga ukanipinga,sista p alifia wapi_fa

Sio lazma uwe na hoja,nipinge tu kama inspector__Fa

Hivi FA na Inspector walikuwa na beef?? au Inspector alikuwa tu anatafuta namna ya kutoka??
 
Ivi jide na ray c haziivagi eeh? Maan sijawah kusikia wakiwa wote japokuwa waliwah kushirikiana kweny nyimbo moja iv

Sidhani.nlishawahi kumwona ray c katika show ya machoz kipindi inapiga Thai na walikuwa karibu sana na jide.
Na wiki chache zilizopita Ray C alipost insta TBT yake akiwa na jide miaka hyo na ktk caption alijitaja kama kiuno kina mfupa na jide jide kama anakonda.
 
Soggy doggy vs Afande Sele.
Fid q vs Rado.
babu seya vs fastjet.
Jide vs Ray C.
Mr II vs Mawingu.
Ngwair RIP vs Mchizi Mox.
Chameleone vs Bongo Records Lebo.
Nature vs Rugay link Sintah.
Salama vs Kikosi Block 41.
TMK MAJITA vs TMK WANAUME.
Langa RIP vs Jay Moe.
Qchief vs Jaffaray.
Steve 2K .RIP.vs Castro Ponela.
Producer Amba vs Jeez Mabov
Yapo mengi kuna mambo nafanya ntarudi kumalizia.

Hapo NAMBA TATU WIJAPAELEWA MIE😱😱😱😱😱:sly::sly::sly::sly::sly:
 
Hapo NAMBA TATU WIJAPAELEWA MIE😱😱😱😱😱:sly::sly::sly::sly::sly:

Amba na geez mabovu walikuwa na beef ya kitu gani mkuu?
Na huyu amba kaishia wapi nilikuwa namkubari sana wakati bado hajaamia dar kwa production yake alipohamia dar hata wasanii wake wakapotea mfano, Yankee yule aliyeimba Tonight, na we ni wangu, kuna sijui nani yule aliimba utanikumbuka, kuna yule MC aliimba waite polisi nasikia ndiye mmewe Farida siwasikii wote.
 
elmagnifico Ni hivi soon baada ya GEEZ MABOVU kutoa MTOTO WA KIUME hiyo single ili hit sana sasa aliporudi Iringa akataka kurekodi wimbo bure kwa Amba akidai kuwa ata P-Funk anamrekodia bure wakati yeye (P) ni Superdupa itakuwaje atoe pesa kwa upcoming Producer ambae ni Amba hapa ndipo Mabovu akatishia kumpga Producer Amba.
RIP GEEZ MABOVU HAKIKA WEWE NI MSHUMAA ULIOZIMIKA WAKATI BADO UNAHITAJIKA.
Amba na geez mabovu walikuwa na beef ya kitu gani mkuu?
.
 
Last edited by a moderator:
elmagnifico Ni hivi soon baada ya GEEZ MABOVU kutoa MTOTO WA KIUME hiyo single ili hit sana sasa aliporudi Iringa akataka kurekodi wimbo bure kwa Amba akidai kuwa ata P-Funk anamrekodia bure wakati yeye (P) ni Superdupa itakuwaje atoe pesa kwa upcoming Producer ambae ni Amba hapa ndipo Mabovu akatishia kumpga Producer Amba.
RIP GEEZ MABOVU HAKIKA WEWE NI MSHUMAA ULIOZIMIKA WAKATI BADO UNAHITAJIKA.

Uko sahihi kabisa, kipindi cha hilo sakata mi nilikuwa Iringa nasoma. Sema ishu haikusambaa coz Amba hakuwa anajulikana nje ya Iringa. Ilikuwa hivi Geez Mabovu alikuja kupiga show Iringa ndo akakutana na Amba, Geez akataka kufanya ngoma kwa jamaa free (alikuwa analeta za kistaa) kisa mtoto wa kiume inabang hewani basi akajua Amba atashoboka naye 'staa', Bahati mbaya Amba akamkazia kwamba bila hela hafanyi, nikamsikia Mabovu akihojiwa kupitia redio ya Iringa (sikumbuki vizuri km ilikuwa Ebony Fm or Country Fm) ilikuwa kwa simu, jamaa aliwaka vibaya na maneno ya shombo kibao anamuita Amba underground, "nimeshafanya kazi na maproduza wakubwa Tanzania, sahivi nafanya kazi na producer mpya mkali sana" akimtaja 'LAMAR' kipindi hicho kaanza kazi Mandugu Rec. akimaanisha kuwa Amba si chochote. Hapo ndo bifu lao lilipokolea
 
Last edited by a moderator:
elmagnifico Ni hivi soon baada ya GEEZ MABOVU kutoa MTOTO WA KIUME hiyo single ili hit sana sasa aliporudi Iringa akataka kurekodi wimbo bure kwa Amba akidai kuwa ata P-Funk anamrekodia bure wakati yeye (P) ni Superdupa itakuwaje atoe pesa kwa upcoming Producer ambae ni Amba hapa ndipo Mabovu akatishia kumpga Producer Amba.
RIP GEEZ MABOVU HAKIKA WEWE NI MSHUMAA ULIOZIMIKA WAKATI BADO UNAHITAJIKA.

Asante kwa taarifa na je amba yuko wapi siku hizi
 
Last edited by a moderator:
Hivi FA na Inspector walikuwa na beef?? au Inspector alikuwa tu anatafuta namna ya kutoka??

Ungesema inspector alikua anatafta bifu na sio namna ya kutoka..

Mzee wa pamba nyepesi amewah kuwa juu sana.,so ameshatoka ktambo
 
Hizo ni bifu za Bongo Flava,hamjazungumzia bifu za Hip Hop,bifu za maana zilikuwa arusha,Waturutumbi,Watengwa chini ya Umbwa Jombii Chindo man,N2N na River camp sojaz.Wategwa walikuwa wanakaza sana na uzalendo wa Arusha yao
 
Back
Top Bottom