Hizo ni bifu za Bongo Flava,hamjazungumzia bifu za Hip Hop,bifu za maana zilikuwa arusha,Waturutumbi,Watengwa chini ya Umbwa Jombii Chindo man,N2N na River camp sojaz.Wategwa walikuwa wanakaza sana na uzalendo wa Arusha yao
Asante kwa taarifa na je amba yuko wapi siku hizi
Kwani lazima ucomment??? kama huna cha kuchangia acha ..
Jide aliwahi kuimba wanaume kama mabinti, nayo ilikuwa bif fulan sjui na nani vile, ni kitambo sana wadau!
kwani Garder nae ni msanii wa nyimbo gani? umeenivunja mbavu mkuu.Gadna G vs Chid Benz
Hivi wale majamaa wa arusha wanaopiga hip hop ngumu na walikuwa wanapata show za majuu yule mwenzao kupigwa kisu na kufa siyo bifu ilikuwa?
Kundi ni X-Plastaz, mshkaji aliitwa Faza Nelly. Nilivyosikia, ni Faza alikuwa akiamulia ugomvi wa watu. Haikuwa na uhusiano na muziki.
Haa haaa mm mwnyw nmecheka,sana mtu anageuzwa ndegeEeh wabongo kwa kutunga maneno ya ajabu na uchawi tunaongoza, aya uyo fast jet ndo nani? Yan nimecheka kiama
Dhuuuu chanzo nn mkuu mpaka hawaendan kbsHao jamaa hawajawahi kupatana humu JF,Ni paka na panya.
Chanzo ni hapa hapa JF.. fuatiliaDhuuuu chanzo nn mkuu mpaka hawaendan kbs
Hawa walimbwende wa pwani naona tasnia nzima mibifu tuu..Khadija kopa vs nasma khamis
hha nilikua sijaelewa na mimi lols