BeFoward ni Clearing agents Tanzania?

BeFoward ni Clearing agents Tanzania?

Carina

Senior Member
Joined
Jan 4, 2011
Posts
194
Reaction score
70
Wakuu naomba kuuliza, nimeagiza gari Japan through BeFoward nilitaka kujua kama wana fanya pia kazi ya kuclear gari inapofika bandarini Dar es Salaam.

Huduma zao zikoje na pia bei zao zikoje pia.

Asante nawasilisha
 
Huwa wanatoa huduma ya kuclear pia, waombe wakupe discount, watakupa na offer ya fire extinguisher na triangles.
 
Wakuu naomba kuuliza, nimeagiza gari Japan through BeFoward nilitaka kujua kama wana fanya pia kazi ya kuclear gari inapofika bandarini Dar es Salaam.

Huduma zao zikoje na pia bei zao zikoje pia.

Asante nawasilisha

Sasa Mkuu watawezaje Kukuagizia gari lako halafu wasiwe na Uweledi na Uwezo wa Kukutolea hapo Bandarini? Na bahati nzuri hata hiyo Kampuni yenyewe ni Kubwa na inasifika pia hasa kwa Huduma. Katika suala zima la gharama au tozo zao hapa nisiwe muongo binafsi sifahamu japo najua kadri Uzi wako huu unavyoenda Wazoefu watakuja na Ufafanuzi zaidi.
 
Kama wana email yako, huwa wanatumia taarifa za mtu wa kukusaidia kulitoa.
 
Safi mkuu
Sasa Mkuu watawezaje Kukuagizia gari lako halafu wasiwe na Uweledi na Uwezo wa Kukutolea hapo Bandarini? Na bahati nzuri hata hiyo Kampuni yenyewe ni Kubwa na inasifika pia hasa kwa Huduma. Katika suala zima la gharama au tozo zao hapa nisiwe muongo binafsi sifahamu japo najua kadri Uzi wako huu unavyoenda Wazoefu watakuja na Ufafanuzi zaidi.
 
Clearing agents lazima wakupige laki 7 za bure
 
wakati wa kununua gari kuna option ya kuchagua kama utahitaji na clearance.... + insurance ya uharibifu wa gari ikiwa njiani.
 
Hebu fafanua kidogo mkuu hapa umeniacha kidogo .....
Wajapan wakituma document kwa ajili ya clearing sio lazima wawatumie clearing agents wa Beforward Tanzania, wanaweza wakawatumia kampuni nyingine. Kwangu ilibidi niwaambie waliotumiwa wazirudishe Beforward tanzania. Ukiongea nao wanaelewa hii issue
 
Back
Top Bottom