Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu naomba kuuliza, nimeagiza gari Japan through BeFoward nilitaka kujua kama wana fanya pia kazi ya kuclear gari inapofika bandarini Dar es Salaam.
Huduma zao zikoje na pia bei zao zikoje pia.
Asante nawasilisha
Hivi wanafanya clearing pia za injinga(baiskeli)
Nipo ktk mchakato wa kuagiza phoenix
Kama wana email yako, huwa wanatumia taarifa za mtu wa kukusaidia kulitoa.Wakuu naomba kuuliza, nimeagiza gari Japan through BeFoward nilitaka kujua kama wana fanya pia kazi ya kuclear gari inapofika bandarini Dar es Salaam.
Huduma zao zikoje na pia bei zao zikoje pia.
Asante nawasilisha
Sasa Mkuu watawezaje Kukuagizia gari lako halafu wasiwe na Uweledi na Uwezo wa Kukutolea hapo Bandarini? Na bahati nzuri hata hiyo Kampuni yenyewe ni Kubwa na inasifika pia hasa kwa Huduma. Katika suala zima la gharama au tozo zao hapa nisiwe muongo binafsi sifahamu japo najua kadri Uzi wako huu unavyoenda Wazoefu watakuja na Ufafanuzi zaidi.
Wajapan wakituma document kwa ajili ya clearing sio lazima wawatumie clearing agents wa Beforward Tanzania, wanaweza wakawatumia kampuni nyingine. Kwangu ilibidi niwaambie waliotumiwa wazirudishe Beforward tanzania. Ukiongea nao wanaelewa hii issueHebu fafanua kidogo mkuu hapa umeniacha kidogo .....
nashukuru umetambua kusudi la uzi.Hivi wanafanya clearing pia za injinga(baiskeli)
Nipo ktk mchakato wa kuagiza phoenix