beg!Kipi cha ajabu
Nmeshangaa na kuchoka kabisa😂😂😂Yaani umefika hadi dukani ukapoint muundo huo, then kufika home unagundua siyo, kwani ulishikiwa bunduki kununua? Au umepewa zawadi na babe eeh🤪
Mfano wewe Hao unapenda gari ainanya V8 kimuoneoano na kilakitu na unaonga kulinunua ila ukivyolinunua ukagundua wewe kwa bidy yako ukiwa unaendesha V8 huwi comfortable labda mfupi au umezoea kuendesha magari ya chini Yes hii tunasema unalipenda V8 kimuoneoano na brand (User Interface) ila wenye kulitumia kwako ujalizoea (User Experience).Yaani umefika hadi dukani ukapoint muundo huo, then kufika home unagundua siyo, kwani ulishikiwa bunduki kununua? Au umepewa zawadi na babe eeh🤪