Begi Jipya la mkanda mmoja nabadirishana na begi la mgongoni

Begi Jipya la mkanda mmoja nabadirishana na begi la mgongoni

Sea Beast

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2022
Posts
2,212
Reaction score
4,808
Habari, nimenunua hili begi bado jipya ndio kwanza lina week moja kwaajiri ya kubebea Laptop yangu ila naona hii siyo aina yangu ya begi kabisa, nimezoea begi la mogongoni nimelishindwa.

Nimelinunua 25000 nabadirishana na mtu mwenye begi la mgongoni, anipe la mgongoni nimpe hili au kwa mnunuaji anipe offer yake.
IMG_20221130_181753_1.jpg
IMG_20221130_181806_8.jpg
IMG_20221130_181718_3.jpg
 
Yaani umefika hadi dukani ukapoint muundo huo, then kufika home unagundua siyo, kwani ulishikiwa bunduki kununua? Au umepewa zawadi na babe eeh🤪
 
Yaani umefika hadi dukani ukapoint muundo huo, then kufika home unagundua siyo, kwani ulishikiwa bunduki kununua? Au umepewa zawadi na babe eeh🤪
Mfano wewe Hao unapenda gari ainanya V8 kimuoneoano na kilakitu na unaonga kulinunua ila ukivyolinunua ukagundua wewe kwa bidy yako ukiwa unaendesha V8 huwi comfortable labda mfupi au umezoea kuendesha magari ya chini Yes hii tunasema unalipenda V8 kimuoneoano na brand (User Interface) ila wenye kulitumia kwako ujalizoea (User Experience).

Conclusion
Nimeenda kulinunua sababu ya User Interface yake ila nalibadiri sababu ya User Experience zaidi
 
Huko mtaani kwako hamna watu wakubadilishana nao mkuu?
 
Back
Top Bottom