KERO Begi langu limepotea Airport Dar, naomba mamlaka husika ichukue hatua stahiki kulingana na taratibu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Mke wangu alisafiri Julai 24, 2026 akiwa na mabegi manne kutoka Afrika Kusini (OR Tambo International Airport) kuja Dar es Salaam (JNIA), alipofika Dar es Salaam, alipoenda kuchukua mizigo kwenye belt, begi moja halikuonekana.

Nikaingilia na kupata mrejesho kutoka kwa maafisa wa JNIA, wakasema mabegi bado yanakuja na atalipata, nilipendekeza wamwandikie karatasi aondoke, ili begi likipatikana wanipigie simu nitatuma mtu alichukue. Walikubali na kumwandikia ile ripoti ya mali (property report) kisha akaondoka.

Siku tatu baadaye, nilipiga simu kupitia WhatsApp wakanijibu kuwa begi bado liko Afrika Kusini, wakanipa namba ya dada mmoja ili nimpigie, naye akaniambia "Nenda uwanja wa ndege, begi lako lipo Tanzania".

Air Tanzania hapa Tanzania wao wakakanusha kuwa na hilo begi, nikatuma email kwa Air Tanzania, wakaomba niwatumie nyaraka, nikafanya hivyo, siku tano baadaye wakadai uchunguzi bado unaendelea.

Wiki mbili baadaye nikaambiwa "Samahani kwa usumbufu, tumefuatilia mzigo wako na hatujaupata, hivyo nakuandikia email ili hatua zingine zichukuliwe'.

Kwenye email hiyo, alisema kamera zimeonesha hakuna ushahidi wowote unaoonyesha kwamba begi lilifika Dar, wakapendekeza nifanyiwe compensation (ufidiaji) kupitia Warsaw Convention ambapo ni dola 20 kwa kilo, hivyo kwa kilo zako 20 watalipa dola 400.

Nilikataa ofa hiyo kwani sheria waliyotumia haihusiki kwenye ruti hii ya Afrika Kusini kuja Tanzania, wanatakiwa kutumia Montreal Convention na sio Warsaw Convention. Hata sheria zetu za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) zinasema huwezi kutumia sheria isiyohusika. Niliwaambia wanilipe kulingana na sheria halisi za kimataifa na za TCAA.

Baadaye wakajibu wakidai kuwa wanachofanya ni kama hisani tu ya kunisaidia kutafuta mzigo!

Niliwahoji: 'Hisani kivipi?' Wanakubali kabisa kuwa mzigo umepotea, wanatoa pole, na wanasema mzigo uliokuwa umechekiwa ndio wenye dhamana ya kusimamiwa mpaka kumfikia mteja!

Uzuri ni kwamba kwenye email zote nilikuwa naweka nakala (copy) kwenda Civil Aviation ya Afrika Kusini na TCAA ili kuweka ushahidi wa majibu yao na jinsi wanavyobadilika.

Pia, kuna suala la muda. Kwa sheria za TCAA, mteja anatakiwa kulipwa ndani ya siku 30 pindi mzigo unapopotea. Ninapoandika hapa ni zaidi ya siku ya 75, lakini bado halifanyiwi kazi!

=====================================​

KWENDA: UMMA
NAKALA: CEO ATCL / DG TCAA ([email protected]) / DG SACAA

YAH: MALALAMIKO YA SIKU 75 YA KUTESEKA KWA WATOTO NA KUKIUKWA KWA SHERIA YA MONTREAL CONVENTION NA ATCL

Msaada wa kulinda haki za watoto wanaoteseka kwa kukosa nguo, viatu and tablet zao za kujisomea kwa siku 75 kwa sababu ya uzembe wa Shirika la Taifa ATCL.

1. KISA:
TC0209 JNB-DAR. Begi Na. 0TC944433 lenye nguo za watoto halikufika. PIR TC944433 ilifunguliwa. Leo ni siku 75.

2. THAMANI:
USD 1,285 (chini ya ukomo wa kisheria).

3. UDANGANYIFU WA ATCL:

4. Tarehe 30 SEPT 2026 ATCL kupitia afisa wao (jina nimelihifadhi) wameniandikia barua wakisema "mzigo ULIOPOTEA ulikuwa 20KG, tunakulipa $20x20 = $400 kwa company policy", na siyo kwa mjibu wa sheria.

Hii ni uongo na ukiukaji wa sheria.

SHERIA WANAYOKIUKA - ninanukuu sheria halisi:

(i) Montreal Convention Kifungu 17(2):
"The carrier is liable for damage sustained in the event of the destruction or loss of checked baggage upon condition only that the event which caused the loss took place during any period within which the checked baggage was in the charge of the carrier."

Maana: ATCL inawajibika kwa kupoteza begi likiwa mikononi mwao.

(ii) Montreal Convention Kifungu 17(3):
"If the checked baggage has not arrived at the expiration of twenty-one days of the date on which it ought to have arrived, the passenger is entitled to enforce his rights under the Convention."

Maana: Baada ya siku 21 begi linakuwa limepotea kisheria. Sisi tuko siku 75.

(iii) Montreal Convention Kifungu 22(2):
"In the case of destruction, loss of, damage or delay of baggage, the liability of the carrier is limited to 1,288 Special Drawing Rights for each passenger."

Maana: Fidia ni hadi 1,288 SDR = takriban USD 1,715 KWA KILA ABIRIA. Sio kwa kilo. Sheria ya $20/kg ya ATCL ni ya Warsaw 1929 iliyofutwa.

(iv) Montreal Convention Kifungu 26:
"Any provision tending to relieve the carrier of liability or to fix a lower limit than that which is laid down in this Convention shall be null and void."

Maana: Hicho "company policy ya $20/kg" wanachotumia ATCL ni BATILI kisheria. Ni null and void.

(v) Sheria ya Tanzania - Carriage by Air Act, Sura ya 80, Kifungu cha 3:
"Montreal Convention shall have the force of law in Tanzania."

Maana: Montreal si sheria ya nje, ni sheria ya Bunge la Tanzania. ATCL kuiuka ni kuiuka sheria ya nchi.

(vi) Kanuni za TCAA za Ulinzi wa Mtumiaji 2021, Kanuni ya 12(3):
Mtoa huduma atalipa fidia ya mizigo ndani ya siku 30.

Maana: ATCL kukaa siku 75 ni kukiuka kanuni za TCAA.

4. MASWALI KWA VYOMBO VYA HABARI KUULIZA TCAA NA ATCL:

1. Kwanini ATCL inatumia sheria ya 1929 ya $20/kg badala ya sheria ya 1999 ya $1,715 kwa abiria kwa safari/wanachama wa Montreal Convention ?

2. Kwanini TCAA inaruhusu kampuni ya taifa kutumia policy batili (null and void) kwa mujibu wa Kifungu 26 cha Montreal?

3. Je, ni sheria gani inayoruhusu ATCL kukaa miezi 3 bila kulipa wakati sheria inasema siku 21 mzigo umepotea na siku 30 fidia nilipwe kwa mjibu wa sheria za TCAA ?

Kwa mujibu wa sheria za kimataifa, nina uhuru wa kuchagua sehemu ya kufungua kesi hii, South Africa au Tanzania. Baadae wasije sema hatuna uzalendo.

Guardian of Minors
TC0209
File TC944433 / Bag 0TC944433

=================================​

OPEN LETTER TO TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY (TCAA) & AIR TANZANIA (ATCL)

RE: 73 DAYS OF LOST BAGGAGE - FILE TC944433 - ATCL OFFERING ILLEGAL PER-KILO COMPENSATION

On 24 July 2026, Air Tanzania Flight TC0209 JNB-DAR lost my checked bag Tag 0TC944433 (28kg). Today is Day 73.

The bag contained all my children's clothes and shoes. For 73 days, they have suffered.

LEGAL FACTS ATCL IS VIOLATING:

1. Montreal Convention Article 17(3): Bag deemed LOST after 21 days. Mine is 73 days.

2. Montreal Convention Article 22(2): Compensation limit is 1,288 SDR approx. $1,715 PER PASSENGER, not per kilo. The per-kilo limit is the Warsaw 1929 law, which was abolished in 1999.

3. Montreal Article 19: Carrier liable for damage from delay.

4. TCAA Consumer Protection Regulations:
  • Reg 18: Negligence in handling baggage
  • Reg 19: Failure to respond to complaint

After 73 days, ATCL is still offering per-kilo ($20 x 28kg = $560) for goods worth $1,285. This underpays by $725.

My claim: $1,285 within the legal limit of $1,715.

I have filed a formal complaint with TCAA: [email protected], [email protected], [email protected]

I have concrete evidence that ATCL lost the bag between the sorting area and the reclaim area at DAR. I will submit it to TCAA investigators.

I call upon TCAA to:
1. Declare per-kilo compensation illegal
2. Order ATCL to pay $1,285
3. Enforce a penalty for 73 days of suffering of minors

#ATCL #TCAA #MontrealConvention #ConsumerProtection #Tanzania

Passenger - File TC944433
 
Taratibu mdau! Usije geuziwa kibao ukaonekana wewe ndiye umelifanya shirika lisiingize faida kwa miaka 20! Pole sana.
Kinachosikitisha hiyo pesa si ya mtu binafsi ni shirika ndio linafidia, lakini mtu aliyepewa madaraka ya kuidhinisha malipo hataki.

Ninaposemaga Waafrika tumelaaniwa niko sahihi, tena haya mashirika yana bima kubwa kwa ajili ya vitu kama hivi, juzi meli imezama Homuz na mizigo ya Wafanyabiashara, ingekuwa Bongo ndio imekula kwenu.
 
Mke wangu alisafiri Julai 24, 2026 akiwa na mabegi manne kutoka Afrika Kusini (OR Tambo International Airport) kuja Dar es Salaam (JNIA), alipofika Dar es Salaam, alipoenda kuchukua mizigo kwenye belt, begi moja halikuonekana.

Nikaingilia na kupata mrejesho kutoka kwa maafisa wa JNIA, wakasema mabegi bado yanakuja na atalipata, nilipendekeza wamwandikie karatasi aondoke, ili begi likipatikana wanipigie simu nitatuma mtu alichukue. Walikubali na kumwandikia ile ripoti ya mali (property report) kisha akaondoka.

Siku tatu baadaye, nilipiga simu kupitia WhatsApp wakanijibu kuwa begi bado liko Afrika Kusini, wakanipa namba ya dada mmoja anaitwa Aisha ili nimpigie, naye akaniambia "Nenda uwanja wa ndege, begi lako lipo Tanzania".

Air Tanzania hapa Tanzania wao wakakanusha kuwa ba hilo begi, nikatuma email kwa Air Tanzania, wakaomba niwatumie nyaraka, nikafanya hivyo, siku tano baadaye wakadai uchunguzi bado unaendelea.

2 weeks baadaye nikaambiwa "Samahani kwa usumbufu, tumefuatilia mzigo wako na hatujaupata, hivyo nakuandikia email ili hatua zingine zichukuliwe'.

Kwenye email hiyo, alisema kamera zimeonesha hakuna ushahidi wowote unaoonyesha kwamba begi lilifika Dar, wakapendekeza nifanyiwe compensation (ufidiaji) kupitia Warsaw Convention ambapo ni dola 20 kwa kilo, hivyo kwa kilo zako 20 watalipa dola 400.

Nilikataa ofa hiyo kwani sheria waliyotumia haihusiki kwenye ruti hii ya Afrika Kusini kuja Tanzania, wanatakiwa kutumia Montreal Convention na sio Warsaw Convention. Hata sheria zetu za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) zinasema huwezi kutumia sheria isiyohusika. Niliwaambia wanilipe kulingana na sheria halisi za kimataifa na za TCAA.

Baadaye wakajibu wakidai kuwa wanachofanya ni kama hisani tu ya kunisaidia kutafuta mzigo!

Niliwahoji: 'Hisani kivipi?' Wanakubali kabisa kuwa mzigo umepotea, wanatoa pole, na wanasema mzigo uliokuwa umechekiwa ndio wenye dhamana ya kusimamiwa mpaka kumfikia mteja!

Uzuri ni kwamba kwenye email zote nilikuwa naweka nakala (copy) kwenda Civil Aviation ya Afrika Kusini na TCAA ili kuweka ushahidi wa majibu yao na jinsi wanavyobadilika.

Pia, kuna suala la muda. Kwa sheria za TCAA, mteja anatakiwa kulipwa ndani ya siku 30 pindi mzigo unapopotea. Ninapoandika hapa ni zaidi ya siku ya 75, lakini bado wanazungusha na kutuma ujumbe usio na msingi!

Pole sana mkuu; hata hivyo naomba nikupe ushauri kidogo hapa;
Refund iliyowekwa na montrel kwenye airlines ni guide line tu; Ili mtu asije kusema aliweka pengine dhahabu ya shs 250M kwenye bag na kudai fidia ambapo ndege zote zingefirisika.
Ki uhalisia kichowekwa hapo ni kiasi cha juu kabisa mtu anachoweza kudai ILA kwenye kulipwa; mtu analipwa kulingana na uhalisia wa alichokuwa nacho kwenye begi; Ila kama alikuwa na vitu vya dhamani sana; basi atalipwa kwa kufuata huo ukomo wa juu uliowekwa.
Kwa hivyo basi; ili ulipwe hicho kiasi cha juu kabisa; unatakiwa uwe na vielelezo/receipts/invoice ya kuonesha gharama ya vilivyokuwa ndani ya begi vinafikia hayo makadirio ya juu au vimezidi.

Proof of Value and Receipts: You must provide itemized lists, invoices, or proofs of purchase/receipts for the contents of your lost bag. The airline calculates the refund based on the depreciated actual value of the items inside, not replacement cost for brand-new items.

Ikitokea hauna vielelezo tajwa hapo juu unaweza kulipwa kwa makadirio kama walivyotaka kukulipa hapo mwanzo tofauti na hapo, uwe na receipt ya kila kilicho kuwemo.
Kimsingi wangeacha kila abiria adai vitu vyake kwa jinsi anavyotaka; ndege zote za abiria zingefirisika!
 
Bei limepotea airport ya Dar ila ndani nimesoma linasemekana halikufika🙄..Mzee wafuate TCAA wakupe msaada wa kisheria kama unataka fidia ila usije kujichanganya kusema begi limepotea airport ya Dar utaumia.
 
Mke wangu alisafiri Julai 24, 2026 akiwa na mabegi manne kutoka Afrika Kusini (OR Tambo International Airport) kuja Dar es Salaam (JNIA), alipofika Dar es Salaam, alipoenda kuchukua mizigo kwenye belt, begi moja halikuonekana.

Nikaingilia na kupata mrejesho kutoka kwa maafisa wa JNIA, wakasema mabegi bado yanakuja na atalipata, nilipendekeza wamwandikie karatasi aondoke, ili begi likipatikana wanipigie simu nitatuma mtu alichukue. Walikubali na kumwandikia ile ripoti ya mali (property report) kisha akaondoka.

Siku tatu baadaye, nilipiga simu kupitia WhatsApp wakanijibu kuwa begi bado liko Afrika Kusini, wakanipa namba ya dada mmoja anaitwa Aisha ili nimpigie, naye akaniambia "Nenda uwanja wa ndege, begi lako lipo Tanzania".

Air Tanzania hapa Tanzania wao wakakanusha kuwa ba hilo begi, nikatuma email kwa Air Tanzania, wakaomba niwatumie nyaraka, nikafanya hivyo, siku tano baadaye wakadai uchunguzi bado unaendelea.

2 weeks baadaye nikaambiwa "Samahani kwa usumbufu, tumefuatilia mzigo wako na hatujaupata, hivyo nakuandikia email ili hatua zingine zichukuliwe'.

Kwenye email hiyo, alisema kamera zimeonesha hakuna ushahidi wowote unaoonyesha kwamba begi lilifika Dar, wakapendekeza nifanyiwe compensation (ufidiaji) kupitia Warsaw Convention ambapo ni dola 20 kwa kilo, hivyo kwa kilo zako 20 watalipa dola 400.

Nilikataa ofa hiyo kwani sheria waliyotumia haihusiki kwenye ruti hii ya Afrika Kusini kuja Tanzania, wanatakiwa kutumia Montreal Convention na sio Warsaw Convention. Hata sheria zetu za Mamlaka ya Usafiri wa Anga Tanzania (TCAA) zinasema huwezi kutumia sheria isiyohusika. Niliwaambia wanilipe kulingana na sheria halisi za kimataifa na za TCAA.

Baadaye wakajibu wakidai kuwa wanachofanya ni kama hisani tu ya kunisaidia kutafuta mzigo!

Niliwahoji: 'Hisani kivipi?' Wanakubali kabisa kuwa mzigo umepotea, wanatoa pole, na wanasema mzigo uliokuwa umechekiwa ndio wenye dhamana ya kusimamiwa mpaka kumfikia mteja!

Uzuri ni kwamba kwenye email zote nilikuwa naweka nakala (copy) kwenda Civil Aviation ya Afrika Kusini na TCAA ili kuweka ushahidi wa majibu yao na jinsi wanavyobadilika.

Pia, kuna suala la muda. Kwa sheria za TCAA, mteja anatakiwa kulipwa ndani ya siku 30 pindi mzigo unapopotea. Ninapoandika hapa ni zaidi ya siku ya 75, lakini bado wanazungusha na kutuma ujumbe usio na msingi!

=====================================​

KWENDA: UMMA
NAKALA: CEO ATCL / DG TCAA ([email protected]) / DG SACAA

YAH: MALALAMIKO YA SIKU 75 YA KUTESEKA KWA WATOTO NA KUKIUKWA KWA SHERIA YA MONTREAL CONVENTION NA ATCL

Msaada wa kulinda haki za watoto wanaoteseka kwa kukosa nguo, viatu and tablet zao za kujisomea kwa siku 75 kwa sababu ya uzembe wa Shirika la Taifa ATCL.

1. KISA:
TC0209 JNB-DAR. Begi Na. 0TC944433 lenye nguo za watoto halikufika. PIR TC944433 ilifunguliwa. Leo ni siku 75.

2. THAMANI:
USD 1,285 (chini ya ukomo wa kisheria).

3. UDANGANYIFU WA ATCL:

4. Tarehe 30 SEPT 2026 ATCL kupitia afisa wao (jina nimelihifadhi) wameniandikia barua wakisema "mzigo ULIOPOTEA ulikuwa 20KG, tunakulipa $20x20 = $400 kwa company policy", na siyo kwa mjibu wa sheria.

Hii ni uongo na ukiukaji wa sheria.

SHERIA WANAYOKIUKA - ninanukuu sheria halisi:

(i) Montreal Convention Kifungu 17(2):
"The carrier is liable for damage sustained in the event of the destruction or loss of checked baggage upon condition only that the event which caused the loss took place during any period within which the checked baggage was in the charge of the carrier."

Maana: ATCL inawajibika kwa kupoteza begi likiwa mikononi mwao.

(ii) Montreal Convention Kifungu 17(3):
"If the checked baggage has not arrived at the expiration of twenty-one days of the date on which it ought to have arrived, the passenger is entitled to enforce his rights under the Convention."

Maana: Baada ya siku 21 begi linakuwa limepotea kisheria. Sisi tuko siku 75.

(iii) Montreal Convention Kifungu 22(2):
"In the case of destruction, loss of, damage or delay of baggage, the liability of the carrier is limited to 1,288 Special Drawing Rights for each passenger."

Maana: Fidia ni hadi 1,288 SDR = takriban USD 1,715 KWA KILA ABIRIA. Sio kwa kilo. Sheria ya $20/kg ya ATCL ni ya Warsaw 1929 iliyofutwa.

(iv) Montreal Convention Kifungu 26:
"Any provision tending to relieve the carrier of liability or to fix a lower limit than that which is laid down in this Convention shall be null and void."

Maana: Hicho "company policy ya $20/kg" wanachotumia ATCL ni BATILI kisheria. Ni null and void.

(v) Sheria ya Tanzania - Carriage by Air Act, Sura ya 80, Kifungu cha 3:
"Montreal Convention shall have the force of law in Tanzania."

Maana: Montreal si sheria ya nje, ni sheria ya Bunge la Tanzania. ATCL kuiuka ni kuiuka sheria ya nchi.

(vi) Kanuni za TCAA za Ulinzi wa Mtumiaji 2021, Kanuni ya 12(3):
Mtoa huduma atalipa fidia ya mizigo ndani ya siku 30.

Maana: ATCL kukaa siku 75 ni kukiuka kanuni za TCAA.

4. MASWALI KWA VYOMBO VYA HABARI KUULIZA TCAA NA ATCL:

1. Kwanini ATCL inatumia sheria ya 1929 ya $20/kg badala ya sheria ya 1999 ya $1,715 kwa abiria kwa safari/wanachama wa Montreal Convention ?

2. Kwanini TCAA inaruhusu kampuni ya taifa kutumia policy batili (null and void) kwa mujibu wa Kifungu 26 cha Montreal?

3. Je, ni sheria gani inayoruhusu ATCL kukaa miezi 3 bila kulipa wakati sheria inasema siku 21 mzigo umepotea na siku 30 fidia nilipwe kwa mjibu wa sheria za TCAA ?

Kwa mujibu wa sheria za kimataifa, nina uhuru wa kuchagua sehemu ya kufungua kesi hii, South Africa au Tanzania. Baadae wasije sema hatuna uzalendo.

Guardian of Minors
TC0209
File TC944433 / Bag 0TC944433

=================================​

OPEN LETTER TO TANZANIA CIVIL AVIATION AUTHORITY (TCAA) & AIR TANZANIA (ATCL)

RE: 73 DAYS OF LOST BAGGAGE - FILE TC944433 - ATCL OFFERING ILLEGAL PER-KILO COMPENSATION

On 24 July 2026, Air Tanzania Flight TC0209 JNB-DAR lost my checked bag Tag 0TC944433 (28kg). Today is Day 73.

The bag contained all my children's clothes and shoes. For 73 days, they have suffered.

LEGAL FACTS ATCL IS VIOLATING:

1. Montreal Convention Article 17(3): Bag deemed LOST after 21 days. Mine is 73 days.

2. Montreal Convention Article 22(2): Compensation limit is 1,288 SDR approx. $1,715 PER PASSENGER, not per kilo. The per-kilo limit is the Warsaw 1929 law, which was abolished in 1999.

3. Montreal Article 19: Carrier liable for damage from delay.

4. TCAA Consumer Protection Regulations:
  • Reg 18: Negligence in handling baggage
  • Reg 19: Failure to respond to complaint

After 73 days, ATCL is still offering per-kilo ($20 x 28kg = $560) for goods worth $1,285. This underpays by $725.

My claim: $1,285 within the legal limit of $1,715.

I have filed a formal complaint with TCAA: [email protected], [email protected], [email protected]

I have concrete evidence that ATCL lost the bag between the sorting area and the reclaim area at DAR. I will submit it to TCAA investigators.

I call upon TCAA to:
1. Declare per-kilo compensation illegal
2. Order ATCL to pay $1,285
3. Enforce a penalty for 73 days of suffering of minors

#ATCL #TCAA #MontrealConvention #ConsumerProtection #Tanzania

Passenger - File TC944433
Chukua hata hicho kidogo mkuu.
 
Mahaka
Mahakama za kupigiwa simu moja msemo wa Rostam Aziz?
Huyu anajua sheria ATCL waache janja janja atawashitaki mahakama za SA watalipa mzigo wake na gharama za kesi.
Wafanyakazi wa ATCL wasijifanye uzalendo kwa mali raia wa kawaida

hyo kesi haina maslai ya kisiasa wala kiusalama, Wakipata Summons tu ya wakili kuwatishia kuwashtark watachangamka chapu kujua mzigo uko wapi.
 
Back
Top Bottom