KERO Begi langu limepotea Airport Dar, naomba mamlaka husika ichukue hatua stahiki kulingana na taratibu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
Mara nyingine huwa nawasema Wamarekani wana kichaa cha kushitaki kwa lawsuits.

Kitu kidogo tu kampuni inapigwa lawsuit ya mamilioni ya dola, na inalazimishwa kulipa.

Lakini utamaduni huu umesaidia sana makampuni kuwa na nidhamu.

Marekani kabla raia hajawa na wazo la kufanya lawsuit, wanasheria wanawinda watu kwa matangazo kuwa unaweza kupata pesa nyingi kwa lawsuit.

Yani kama hapa mtu angesema kapoteza vitu ambavyo havina thamani ya pesa, kapoteza nafasi ya kufanya ma deal makubwa, angelipwa mamilioni ya dola.

Na kampuni ingejiongeza kutorudia tena kosa.
 
Ninachojua hutalipwa hata 100, chezea mashirika ya kibongo nini.
 
Hello pole kw akuibiwa begi lako nitafute mimi kwa wakati wako ili niweze kulirudisha begi lako haraka iwezekanavyo.
 

WAKALA SWISSPORT :

Dawati la kampuni mahususi walio mawakala wa kampuni zote za ndege zinazotumia uwanja wa JNIA na jukumu la kisheria inayohusika na huduma za masanduku /mizigo ya abiria yaani dawati la Swissport customer service JNIA wanasemaje ?
Swissport International Ltd.: Owns 51% of the company, established when it acquired the majority stake in the former state-owned Dar es Salaam Airport Handling Company (DAHACO). contacts / email link : Tanzania
Swissport Tanzania Plc provides comprehensive airport ground operations—including luggage handling (baggage services), cargo handling, and passenger services—at Julius Nyerere International Airport (JNIA) in Dar es Salaam.

Depending on whether you are looking for help with delayed luggage or searching for a job vacancy, the following resources will guide you:

🧳 1. Lost or Delayed Luggage Support
If you are a passenger looking for baggage tracking, Swissport handles tracing directly from their freight terminal at JNIA.
  • Phone Support: +255 763 881 375
  • Email: dar.tracing@swissport.co.tz
  • Location: First Floor, Swissport Freight Terminal, Julius Nyerere International Airport, P.O. Box 18043, Dar es Salaam, Tanzania
 
Nilikuwa natoka Ethiopia naenda Togo, sijui begi ilikuwaje wakalipoteza nafika Lome begi hakuna
Hapo sina kitu chochote zaidi ya Pc na kimkoba kidogo
Nikapewa Ile report ila nilimwambia manager kuwa Kesho Nina A B C bila lile bag ntashindwa
Jamaa alihangaika kweli kweli na kunisaidia some resources ili Jambo langu la Kesho yake liende
Hapa ulivyosema Ndo nimeelewa kwanini alini treat vile
 
Bag lako ulilipata?
 
Pole sana kwa kupotelewa ba begi pamoja na usumbufu ulioupata kwa kufuatilia.

Nakupa kongole kwa kufuatilia na kutokataa tamaa na kupoteza haki yako.
Huu ni mfano bora wa mapambano ya kupigania haki.

Mungu akulinde na akuongoze ukapate kupata haki yako.
 
Mara nyingi mabegi huwa yanabaki SA kuna kipindi nilikua nanunua zile simu za bei rahisi nakimbia kuuza Agrey hapo kila begi nilikua napanga kama simu 1000 hivi sasa Oliver Tambo wanachofanya lazima wapitishe Scan kwa beg zote walituma nilisafiri na mawili moja likabaki bila kujua ila kwa kuwa hizi mambo nazielewa nikampa taarifa ndugu yangu alikuwepo Pretoria alipoenda wakaliona na kulituma kwa ndege ingine beg likibaki SA huku hata upige kelele vip hautalipata hawana mawasiliano ya moja kwa moja na SA na uzuri SA kwa beg zote zinazobaki zinakua pale chini ni kumtumia mtu SA aende na ticket ya beg pale atapewa beg lenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…