Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 26,961
- 77,890
Habari wakuu.
Kwa wamiliki wa magari au wenye interest na magari, leo tuongee kidogo kuhusu kufanya Diagnosis, ikiwa kama moja ya njia ya kufanya maintenance (preventive maintenance).
Nadhani wengi tumewahi kusikia hii term OBD ambayo ni kirefu cha on-board diagnosis.
Sasa tukienda gereji, mafundi wanaonganisha kifaa flani (Scanner) kwa waya au Bluetooth au wifi kwenye gari kisha wanapata access ya baadhi ya information/status za gari na kujua ni system gani haifanyi kazi au ina matatizo, ili waifanyie marekebisho.
Hatutaongelea sana science behind hii process ila tujaribu tu kugusia kuhusu hivi vifaa (scanners) na jinsi vinavyoweza kutusaidia kama njia moja wapo ya kutunza gari.
Magari yote yaliyotengenezwa kuanzia mwaka 1996 yamekuja na connector ya OBD-II, inayopatikana chini ya steering, na kupitia hii connector utaunganisha na scanner yako uweze kupata access ya information za gari.
Kwahiyo kupitia kifaa chako, utaweza kupata taarifa za engine za gari, transmission, emissions, live data, sensors status, nk.
Kwa Mifano:
Mimi nilikua natumia sana kwenye BMW E90 hapo zamani, issue za water pump failure, misfires, nk nilikua nazisolve kabla hazijawa kubwa.
(Hiyo pichani ni Innova 3160 nakumbuka nilinunua approx 800k kwaajili ya BMW)
Kwa sasa naitumia kujua status ya DPF imejaa kiasi gani, umbali unaotakiwa kufanya regeneration nk.
(Hiyo juu ya blue ni ELM 327 scanning tool ya Bluetooth, nilinunua kama elfu 16 hivi naitumia kwa Mazda)
Hapo kusema machache.
Ila pia zikitokea dashboard signs kama Check Engine au Vehicle Malfunction au sign yoyote itakusaidia kujua chanzo cha iyo sign, na kama imetokea bahati mbaya tu unaweza ukaifuta kisha ukasubiri uone kama itatokea tena ili uende kwa fundi.
Kuna aina nyingi sana za hivi vifaa, ila me uwa napenda kusema zipo magroup matatu: Simple OBD-II (zinatupa generic codes), Professional OBD-II scanners na Factory scan Tools.
Simple OBD-II scanners zinatumia Bluetooth au Wi-fi au zingine cable.
Nyingi zinakua za bei ndogo hadi elfu 20 tu na unaunganisha kifaa kwenye gari kisha una download free software kwenye smartphone yako na kupata access.
Kama jina linavyosema, itakusaidia kupata Diagnostic Trouble Codes (DTC) simple mfano kujua chanzo cha check engine, kuclear codes, live data, nk.
Zipo pia za kuunganisha na nyaya, nazo zitakua na waya unaonganisha kwenye port ya OBD-II kisha una access kwenye kifaa chenyewe direct.
Hizi zipo za kuanzia elfu 50 na kuendelea, kutegemea na sifa na uwezo.
Professional OBD-II scanners izi kwanza ni gharama kiasi, na zina kazi nyingi sana.
Bongo kuna watu wanatoa huduma ya diagnosis wengine bure ila ukienda kufanya service kwenye gereji yao na wengine kwa pesa.
Mimi kilichonitia hasira kununua ni siku niliyoenda kwa Wauzaji wa BMW kutaka kufanya service wakaniambia diagnosis tu Tsh 180,000/= nikasema aisee.
Zenyewe mbali na kusoma DTC zinaweza pia kutoa maelezo zaidi ya chanzo cha tatizo, hadi kutoa suggestions nk. Nyingi zinauwezo wa kua na access ya internet na unaunga kwa Bluetooth, WiFi au cable.
Factory scan Tools zenyewe zinakua specifically kwa gari fulani. Mfano, unakuta BMW labda ana scan tool yake specifically, kwahiyo unaweza hadi kufanya programming mfano baadhi ya OEM files kama zimezingua.
Kwa Tanzania, kuna wauzaji wa hivi vidude, kuanzia vya Bluetooth hadi professional, zipo brand mbalimbali na bei tofauti tofauti.
Kwa mfano, mimi uwa nnavyo vya simple OBD-II scanners vile vya Bluetooth na vya waya, kwa sample kama hizi hapa chini:
Tsh 15,000/=
Tsh 20,000/=
Tsh 50,000/=
Tsh 100,000/=
Na zingine nyingi.
Wateja wanaotakaga professional scanners tunakubaliana anayoitaka, naagiza kwa gharama zangu, ikifika ndio anafuata.
Ila pia, ukienda kununua diagnosis scanner, lazima ujue compatibility ya gari lako. Usijepewa ambayo haiendani na gari lako, itakua wastage.
Swali je, Diagnosis tools ni za kila mtu?
Hapana, kama wewe haupo interested sana na gari, kwamba taa ikiwaka tu anakuja fundi, sioni sababu ya kumiliki au kujifunza.
Ila kama ni enthusiast, unaweza ukaanza na hizi cheap scanners ukiwa interested unapanda hadi juu.
Karibuni kwa maswali, experience yako na ushauri zaidi.
Peace!