Kasie
Platinum Member
- Dec 29, 2013
- 22,379
- 41,294
- Thread starter
- #341
Linatuhusu bhna......
Haha... ila nikishakukumbatia usisinzie kwa kufumba macho kama kawaida yako eeh leo unanitazama
Hahahahahahahaa napenda kumbato la kuning'inina shingoni kwako....
Kumbato ni letu sote Daby.... ila pale macho yanapofumbwa ujue nakuwa naskia aibiuu hivo nashindwa kukutazama.... hehehe