Behind any frustrated man there is a woman

Yaani dada Rose kama ningalikuwa nimewahi kumtenda mbona ingekuwa droo ila sasa nimefungwa mzinga wa bao na sijui walianza lini
 
asanteni sana wakuu yaani hapa JF kuna maushauri kibao ndiyo maana 2 weeks baada ya tukio nikaja hapa. Mtu unaweza unaweza ukachange mind na kuacha pombe. Ila kwa sasa pombe is my wife and i love her. Naomba anayefahamu pombe yenye alcohol vol zaidi 50 anisaidie
 

Fighting is essentially a masculine idea; a woman's weapon is her tongue.
 
Yani hili ndio neno... the guy is only swinging because ni for entertainment only... not for serious committment

Na ukizingatia ni almost zero cost....
 
Watoto wangu wangu kwa sasa wameshtuka kidogo mana narudi hme late halafu nikifika napitiliza kulala but every weekend nawatoa out bila mama yao coz i really love them and will make sure nawajengea future nzuri. Nimewafungulia accounts kwa kutumia pesa iliyokuwa intended for our common projects with wife ambazo kwa sasa zimestop. mke wangu nikimwangalia usoni i can see a guilty and regretting mind. Halafu hajaniuliza why am behaving the way i do. mwanzoni alikuwa akijaribu kunimegesha halafu mimi namkazia macho analegea na kuacha. sasa hivi tunasalimiana tu ila yuko restless. Naona pia amepunguza kwenda out halafu ninanotice ameanza kidogo kupunguza kujikwatua na kujipendezesha. Sijajua atachukua mesures gani ila nitawapeni mrejesho wa events as the situation evolves.
 
I know for sure that alcohol provides no solution and am not drinking to solve the prob. its my greatest company for now. of course i have friends ninapiga nao stôries but only one of them knows my situation. But i can assure JF that I rather f..u..c.......k alcohol rather than a woman. Najua nikielekeza hasira zangu kwenye infideility, nitakuwa natembeza fimbo hata 3 wmen kutwa yaani 1 asbh 1 mchana 1 jioni na very soon nitajikuta ahera na jf nitaikosa.
 

Ingawa umesema huhitaji ushauri,lakini wewe ni mwanadamu kwahiyo unahitaji ushauri kutoka kwa wanadamu wenzio,mnyama ndiye asiyehitaji ushauri,ila wanadamu wa kawaida huishi kwa kufaidiana.I want you to know kwamba wewe sio wa kwanza kukumbwa na tatizo hilo,you are one out of many.Kumbuka kwamba maisha yako yatategemea maamuzi yako kuhusu swala hilo nyeti.Maamuzi ya kijinga yataharibu maisha yako kabisa.Napenda kukufahamisha kwamba uamuzi uliouchukuwa sio wa busara kabisa.Mkeo ni rafiki tu ambaye mmekutana maishani,if need be, you can make a new one.Baba, mama au hata ndugu yeyote huwezi kubadilisha,lakini mke unaweza kumwambia bye bye.Rafiki zangu wawili walipata matatizo kama yako na wakachukua maamuzi kama yako.Wote waliishia kufa,one because of excessive drinking and the other out of excessive drinking akapata ukimwi akafa.Kwahiyo if you feel it is over with her,mwambie ukweli,please do not destroy your life,una ndugu and possibly watoto wanaokutegemea.
 
Vile vile jamaa atamwambia 'ana tabia mbaya' (alimcheat mume wake). kwa hiyo na yeye lazima ajihami.

halafu jamaa aliyejivinjari na my wife wangu ana mke mwaminifu saana. Namfahamu. She is very motherly ira ri mme rake ndo ivo tena linakula hadi vya wenzake.
 

mheshimiwa tikerra maneno yako yamejaa content sana. thanks
 
Hivi umesema kacheat na BESTFRIEND wako?Dah hapo huna MKE wala BESTFRIEND! Mbaya sana hiyo...wote wanakua wanakuchora!Rafiki anatoka kuparangana na mkeo alafu akikutana na wewe mnacheka pamoja kumbe mwenzio anakucheka!!Nwyz pole kwa yaliyokukuta ila pombe sio dawa!Unatakiwa uwakutanishe alafu uwaambie unajua kinachoendelea bila kuwapa maelezo zaidi uone macho yatakavyowatoka!Alafu unaondoka unawaachia kesi mezani...sijui kama huyo mke atarudi nyumba kwa aibu..
 


Utaendelea kuteseka kwa dhambi yako ya kutokutimiza wajibu , kama mwanaume ulie na akili timamu huwezi kuamua jambo bila kuthibitisha na wataendelea kummega wife hadi ufariki
 

siku akifa ndio utafurahi c ndio bwana mkubwa
 
another marriage viktim.

wewe dogo weka akili sawa, kama hukujithamini mwenyewe hakuna atakaekuthamini. hayo mapombe yako yatakuongezea matatizo tu. sasa hv una only social problem. kupitia hayo mapombe yako, utajiongezea financial problems na health problems. mke/mume ni kama sigara tu , ikimaliza moja unawasha nyengine. timua huyo mzembe. vuta kifaa chengine ndani, ikiwezekana weka kifaa made in esiopia ili uonyeshe kwamba hata uwezo wa ku import unao. chukua ushauri huu, acha kuchimba biti. huyo kikwete mwenyewe anachkua ushauri itakuwa wewe bana.
 
what a cheap attitude... the poster of this thread came with a very sepcific need for help and one Rose comes with such a smart answer... how low can we go, i dont know. soundign as if men go and cheat for theselves or with another man... as far as i know, with my poorest records in maths, one man may cheat with more that one woman... so where is the ration here? is one woman less than a man? if yes then i rest my case, if they are equal then the ball is in Rose's court

maybe I am a dumb a$$

ficha upumbavu wako usifiche hekima zako
 
halafu jamaa aliyejivinjari na my wife wangu ana mke mwaminifu saana. Namfahamu. She is very motherly ira ri mme rake ndo ivo tena linakula hadi vya wenzake.
Pole, lakini na wewe hebu ngoja kwanza (maana naona sasa unaweza kushaurika si kama asubuhi)

Aliyekusaliti ni rafiki yako au sio?

Aliyewaona wanatoka gesti hauzi ni rafiki yako....
Wewe hujathibitisha bali kwa kuambiwa na kuangalia vile mke ana behave.
Hujaongea naye, hujamuuliza, wewe umeambiwa tu ukakubali.

Unamwaminije huyo rafiki yako? Maana mmoja tayri ni msaliti.....
 

your analysis leaves me with a lot to desire... suit yourself buddy
 
Thanks... this is the advice young man neeed
 

Aaaah! Dada Rose, mwogope Mungu ndugu yangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…