Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sasa lakini na wewe huko kupombeka ndio suluhu?Yaani dada Rose kama ningalikuwa nimewahi kumtenda mbona ingekuwa droo ila sasa nimefungwa mzinga wa bao na sijui walianza lini
sure...
mkuki kwa nguruwe?naona mnavyochangia kwa machungu ...nyie mnavyopigaga nje inakuwa tamu ennh?
kwa wenzenu vdole juu afu nyie kwenu mnapongezana kw akuwa na haus ndogo nyng......NA BADO....
thou siung mkono kitendo cha dada kumsaliti jamaa.....
Yani hili ndio neno... the guy is only swinging because ni for entertainment only... not for serious committment
Vile vile jamaa atamwambia 'ana tabia mbaya' (alimcheat mume wake). kwa hiyo na yeye lazima ajihami.Na ukizingatia ni almost zero cost....
Samahani waungwana ila a few monts ago nimeanza kubugia pombe kama maji. Nilikuwa nimemwamini sana mke wangu. nilimpa asilimia mia moja. nami baada ya ndoa sijawahi kumsaliti sasa yeye kaamua kutoka na my best friend. jamaa yangu kawaona live wanatoka guest house akaja kunambia. mimi nilikuwa na mashaka na mahusiano ya mke wangu na rafiki yangu tangu muda mrefu kwa sababu nikiwa na mke wangu nikikutana na rafiki yangu mwizi, mke wangu anaangalia chini na hawezi kabisa kumtizama jamaa. sasa imethibitika mke wangu anananihiwa na rafiki yangu. Sijamwambia kitu hadi sasa ila nimeanza kunywa pombe kama maji. Na hapa JF naomba msinishauri kuâcha pombe. Nimeweka thread hii kuwatahadharisha wale wenye ujinga kama wangu wa kumwamini mke 100%. Samahani yawezekana kuna wanawake waaminifu pia. Ila nimeacha kabisa kufanya the needful na mke wangu. hata akiwa uchi namwona kama mwanamme mwenzangu tu. Sijui kama nitakuja kugusa K maishani. Kila nikijisikia kudo nakamata bia. Kwaherini akina dada. Ninajua JF mna hekima na busara ila kwa sasa sihitaji ushauri wowote. Am married to vodka. Nawaasa tu wale walioweka 100% kwa wake zao. YAMENIKUTA. Naomba kuwasilisha wakuu.
Vile vile jamaa atamwambia 'ana tabia mbaya' (alimcheat mume wake). kwa hiyo na yeye lazima ajihami.
Ingawa umesema huhitaji ushauri,lakini wewe ni mwanadamu kwahiyo unahitaji ushauri kutoka kwa wanadamu wenzio,mnyama ndiye asiyehitaji ushauri,ila wanadamu wa kawaida huishi kwa kufaidiana.I want you to know kwamba wewe sio wa kwanza kukumbwa na tatizo hilo,you are one out of many.Kumbuka kwamba maisha yako yatategemea maamuzi yako kuhusu swala hilo nyeti.Maamuzi ya kijinga yataharibu maisha yako kabisa.Napenda kukufahamisha kwamba uamuzi uliouchukuwa sio wa busara kabisa.Mkeo ni rafiki tu ambaye mmekutana maishani,if need be, you can make a new one.Baba, mama au hata ndugu yeyote huwezi kubadilisha,lakini mke unaweza kumwambia bye bye.Rafiki zangu wawili walipata matatizo kama yako na wakachukua maamuzi kama yako.Wote waliishia kufa,one because of excessive drinking and the other out of excessive drinking akapata ukimwi akafa.Kwahiyo if you feel it is over with her,mwambie ukweli,please do not destroy your life,una ndugu and possibly watoto wanaokutegemea.
Samahani waungwana ila a few monts ago nimeanza kubugia pombe kama maji. Nilikuwa nimemwamini sana mke wangu. nilimpa asilimia mia moja. nami baada ya ndoa sijawahi kumsaliti sasa yeye kaamua kutoka na my best friend. jamaa yangu kawaona live wanatoka guest house akaja kunambia. mimi nilikuwa na mashaka na mahusiano ya mke wangu na rafiki yangu tangu muda mrefu kwa sababu nikiwa na mke wangu nikikutana na rafiki yangu mwizi, mke wangu anaangalia chini na hawezi kabisa kumtizama jamaa. sasa imethibitika mke wangu anananihiwa na rafiki yangu. Sijamwambia kitu hadi sasa ila nimeanza kunywa pombe kama maji. Na hapa JF naomba msinishauri kuâcha pombe. Nimeweka thread hii kuwatahadharisha wale wenye ujinga kama wangu wa kumwamini mke 100%. Samahani yawezekana kuna wanawake waaminifu pia. Ila nimeacha kabisa kufanya the needful na mke wangu. hata akiwa uchi namwona kama mwanamme mwenzangu tu. Sijui kama nitakuja kugusa K maishani. Kila nikijisikia kudo nakamata bia. Kwaherini akina dada. Ninajua JF mna hekima na busara ila kwa sasa sihitaji ushauri wowote. Am married to vodka. Nawaasa tu wale walioweka 100% kwa wake zao. YAMENIKUTA. Naomba kuwasilisha wakuu.
Watoto wangu wangu kwa sasa wameshtuka kidogo mana narudi hme late halafu nikifika napitiliza kulala but every weekend nawatoa out bila mama yao coz i really love them and will make sure nawajengea future nzuri. Nimewafungulia accounts kwa kutumia pesa iliyokuwa intended for our common projects with wife ambazo kwa sasa zimestop. mke wangu nikimwangalia usoni i can see a guilty and regretting mind. Halafu hajaniuliza why am behaving the way i do. mwanzoni alikuwa akijaribu kunimegesha halafu mimi namkazia macho analegea na kuacha. sasa hivi tunasalimiana tu ila yuko restless. Naona pia amepunguza kwenda out halafu ninanotice ameanza kidogo kupunguza kujikwatua na kujipendezesha. Sijajua atachukua mesures gani ila nitawapeni mrejesho wa events as the situation evolves.
what a cheap attitude... the poster of this thread came with a very sepcific need for help and one Rose comes with such a smart answer... how low can we go, i dont know. soundign as if men go and cheat for theselves or with another man... as far as i know, with my poorest records in maths, one man may cheat with more that one woman... so where is the ration here? is one woman less than a man? if yes then i rest my case, if they are equal then the ball is in Rose's courtsure...
mkuki kwa nguruwe?naona mnavyochangia kwa machungu ...nyie mnavyopigaga nje inakuwa tamu ennh?
kwa wenzenu vdole juu afu nyie kwenu mnapongezana kw akuwa na haus ndogo nyng......NA BADO....
thou siung mkono kitendo cha dada kumsaliti jamaa.....
Pole, lakini na wewe hebu ngoja kwanza (maana naona sasa unaweza kushaurika si kama asubuhi)halafu jamaa aliyejivinjari na my wife wangu ana mke mwaminifu saana. Namfahamu. She is very motherly ira ri mme rake ndo ivo tena linakula hadi vya wenzake.
Watoto wangu wangu kwa sasa wameshtuka kidogo mana narudi hme late halafu nikifika napitiliza kulala but every weekend nawatoa out bila mama yao coz i really love them and will make sure nawajengea future nzuri. Nimewafungulia accounts kwa kutumia pesa iliyokuwa intended for our common projects with wife ambazo kwa sasa zimestop. mke wangu nikimwangalia usoni i can see a guilty and regretting mind. Halafu hajaniuliza why am behaving the way i do. mwanzoni alikuwa akijaribu kunimegesha halafu mimi namkazia macho analegea na kuacha. sasa hivi tunasalimiana tu ila yuko restless. Naona pia amepunguza kwenda out halafu ninanotice ameanza kidogo kupunguza kujikwatua na kujipendezesha. Sijajua atachukua mesures gani ila nitawapeni mrejesho wa events as the situation evolves.
Thanks... this is the advice young man neeedPole, lakini na wewe hebu ngoja kwanza (maana naona sasa unaweza kushaurika si kama asubuhi)
Aliyekusaliti ni rafiki yako au sio?
Aliyewaona wanatoka gesti hauzi ni rafiki yako....
Wewe hujathibitisha bali kwa kuambiwa na kuangalia vile mke ana behave.
Hujaongea naye, hujamuuliza, wewe umeambiwa tu ukakubali.
Unamwaminije huyo rafiki yako? Maana mmoja tayri ni msaliti.....