Behind any frustrated man there is a woman



uvumilivu!!!!! Avumilie

 

Thanks sana mkuu... Who said relationships are easy?? they aint easy and to manage one you need than advice from friends an well wishers... sometimes you dont rely only in prayers, you rely in your inner feelings and sometimes you just make decision out of blue

Dogo anahiitaji validation ya habari, anahitaji confrontation na mamaa, anahitaji confrontation na rafiki yake; the only place he shouldnt go for now is in the bar and sipping all the alcohol

Vegule anahitaji time alone after all teh confrontations lakini asiwe violent; but they say its difficult kwani ni hadi uwe kwenye situation ndio utajua inakuaje

Kama alishawahi kuhisi kwamba wanamegana... then there is a very strong case ya kuisimamia

Kama ningekua mimi, ningefuatilia, ningehoji na kama jamaa kweli anakula, basi ujue hajaanza leo na si ajabu ni tabia ya kudumu... huyo dada lazima ningemuaga na kuandaa mpango mzuri wa maisha ya familia badala ya kuishi na kujenga ukatili kwa familia na kuhatarisha maisha yetu wote
 
uvumilivu!!!!! Avumilie

Halafu wewe... hiyo avatar drives me crazy

yani avumilie akiwa mlevi sio? mwisho afikie hatua ya kupoteza line na kuishiwa kutembelewa na watoto wa kitaa sio?

haya bana
 
Halafu wewe... hiyo avatar drives me crazy

yani avumilie akiwa mlevi sio? mwisho afikie hatua ya kupoteza line na kuishiwa kutembelewa na watoto wa kitaa sio?

haya bana

Karibu chai ya rangi,
eeeeh, pombe za nini? maisha ya ndoa ni upendo, amani, uvumilivu nk nk nk

Sasa si avumilie, amuombee mke wake abadilike.
Au......????

 
Samahani waungwana ila a few monts ago nimeanza kubugia pombe kama maji
Ungekuwa karibu yangu ningekuzaba kibao.... wewe unaamua kuharibu maisha yako sababu ya mtu ambaye hakujali????!!!!!! Move on with your life na kama una watoto chapa kazi kwa ajili ya watoto.....

(Sio wewe peke yako mwenye shida... na wengine wana shida ila hawachukui uamuzi wa kijinga kama wako...... sikutaka kuwa mkali nikidhani wengine watakupa ushauri kama huu.... lakini naona wanakubembeleza tu)

kumbuka....
If all our misfortunes were laid in one common heap,
whence everyone must take an equal portion,
most people would be content to take their own and depart.
- Socrates
 



I m very sorry for you guy,kilichokutokea kweli inahitaji moyo kukabiliana nacho,lakini umefanya kosa kusema usishauriwe chochote kuhusu alcohol na kosa kubwa zaidi ulilofanya ni kufikiria kuwa alcohol inaweza kukuponya na machungu ya mkeo,hapo ni NO kwa sababu sasa badala ya kupata solution you are spoiling your life hebu fikiria kama unafanya kazi na waajiri wako wakasense change kwenye utendaji wako wa kazi ni nini kitafuata?
 
pole kwa yalilokukuta sikushauri kutumia pombe kama suluhisho la matatizo yako hembu nikuulize swali je wewe huna mchango wowote kwa hayo yaliyotokea kabla ya kumlaumu tu huyu mke sikushauri kutafuta mwanamke mwingine maana waeza kutana na kimeo vile vile kama ulikuwa na mapenzi ya dhati kwake ni suala la muda yataisha jifunze kusamehe na wewe utakuwa na amani shukuru kwa kuliona hilo wengine mpaka wanakufa wanajua wenza wao walikuwa waaminifu siku ya matanga wanaona vitoto vimejipanga nao wanadai urithi ndio maana tunaambiwa ndoa ni uvumilivu ni pamoja na hayo


 
duh yote kwa yote muombe mungu akupe uujasiri wa kuhimili maumivu ya moyo
 
Karibu chai ya rangi,
eeeeh, pombe za nini? maisha ya ndoa ni upendo, amani, uvumilivu nk nk nk

Sasa si avumilie, amuombee mke wake abadilike.
Au......????

ukimsoma dogo utagundua kwamba ameresort kwenye pombe, na ndio maana nasema kuna ya kuvumilia hapo kweli yani unateseka na kuishia kwenye ulevi usio wa hiari dadangu?

we msome post number one ndio utajua kwamba jamaa anaelekea kubaya na lazima a line iwe drawn mapema
 
kwa kweli inauma siasa unajua ww kifaa chako unakitumia kwa ustaarabu ila yeye atakuwa anakitumia vibaya vibaya si unajua hata viatu vya kuanzima unaweza kukanyagia misumari poole we
 
vegule mida hii yupo anajidunga kilaji tu kuahirisha matatizo.


ha haaa haa unatia mahasira wananchi wanaotoa maushauri hapa.....some people-men are too weak...he is one of them.tumuombee tuu aone mwangaza wa matatizo yake before it is too late.....mie nimejitolea kumpa faraja....vegule njoo huku mwaya tulee watoto!:target::target::drum::hug:
 
unakuwa strong baada ya kujifunza mahali usisahau jamaa alilmuamini mkewe aslimia 100 kama alivosema sasa na wewe umeamua kuwa kidumu

 
Wee si umemsoma lakini?
Roselyne, hebu muache utamuongezea stress mwana wa mwanamke mwenzio
 
Kama ukitaka uyaone maisha ni machungu kupindukia, basi mwamini mwanamke kwa asilimia 100. Kutokana na fundisho nililolipata kutoka kwa hawa binadamu, sitakaa nifanye hivyo tena, na hivi sasa nimekuwa mshauri wa vijana wengi wanaoingia kwenye mahusiano kutojitolea vyote mwili na roho kwa wenza wao kwa kuwa there is no a so called faithful woman in this world. Naungana kabisa na Vegule katika hili, kwamba wanawake ndiyo chanzo kikubwa cha frustration za wanaume walio wengi.
 
mh umesemaje lukolo na wanaume wao huwa wanatupatia chocolate all the time:whoo:

 

Hivi imani ya asilimia 100 hutoka wapi na nani anakuwaga nayo? The naïve and the gullible?

Maana kucheat ni rahisi sana...watu wanamegana maofisini, kwenye magari, kwenye vichaka, chooni na wanarudi majumbani kwa wenza wao as if nothing has happened...na mwenza hatakaa kujua hata siku moja.

Sasa imani ya asilimia 100 tena kwenye zama za dot com? Wanapatikana wapi viumbe wa aina hiyo....
 
mh umesemaje lukolo na wanaume wao huwa wanatupatia chocolate all the time:whoo:

Jamani hapa kila mtu akiweka experience yake tutakubaliana tu kuwa hakuna jinsia ya kulaumiwa hapa.

Wanaume kubalini kuwa kuna wanawake wamepitia magumu tu kama yanayopitiwa na wanaume linapokuja suala zima la mahusiano. Sema tu wanaume huwa wanaona wao wakivunja trust ni sawa kusamehewa lakini si mwananmke.

Kuna mtu hapa hapa kwenye hii mada katoa ushuhuda jinsi mkewe alivyomsamehe tena baada ya kumbamba 'live'

Lets be fair here jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…