Vegule,
Kuna wengi kama wewe wanawaamini sana wake zao, ni wengi mno. Lakini ukweli wa kimaandishi unathibitisha kuwa wanawake ndo waanzilishi wa kuvunja TRUST. Tena bila sababu yoyote, out of blue. Wengi hawapendi hili, kuwa wanawake ni infidels zaidi kuliko wanaume, two to three times.
Wanawake huficha mno mambo haya ila ni rahisi kumjua kama ni mkeo. Wanaume wengi huishia kwenye frustration na ulevi na ufuska kama njia ya kupunguza hasira. Wanawake wakifanyiwa hivyo hulalamika kwa ndugu, jamaa na marafiki. Mwanaume ni vigumu kuwaambia ndugu zako, jamaa na marafiki; kwani watakushangaa kwa nini hujamfukuza?
Kitendo cha wanawake kulalamika huwasaidia na huweza kuendelea na maisha. Kitendo cha wanaume kutolalamika huwaangamiza na huishia kwenye mambo ya hatari kama hayo unayoyafanya. Jamii inayokuzunguka huona kuwa mwanaume ndo una makosa, kwani hawataelewa kwa nini unakuwa mlevi, hawataelewa kwa nini unakuwa fuska! ... Kumbe wewe unaamini unamkomoa mkeo kimya kimya, ila yeye analalamika ulimwengu mzima unakuona wewe ndo zumbukuku.
Ila ukweli ni kuwa, katika wanawake watano wanaokuwa cheated na waume zao; kuna wanaume kama ishirini wanaokuwa cheated na wake zao na hawasemi. Ukishajua hilo pengine utaona kuoa tena haifai, ila ndo ukweli. Uamue tu kuishi na mwanamke, ila kwa kuwa eti ni msafi, sahau!
Chagua moja, kuendelea kuishi na mwanamke msaliti au kutoishi na mwanamke kabisa kwani wanawake wote ni wasaliti (akipata opportunity ya kufanya hivyo). Ndo maana baadhi ya dini zinazuia wanawake kufanya kazi, zinazuia wanawake kuwa na wanaume ambao si ndugu in privacy, n.k. lakini bado wanawake wanatafuta njia tu ya kutoka. Amini usiamini, hata ufanyeje mwanamke akipata nafasi ya ku-cheat ata cheat tu regardless unamfanyia nini na wewe ni mwaminifu kwake kiasi gani.
Tatizo ni kuwa jamii imemjenga kumfanya mwanamke ajione mtendewa na si mtenda. Hata akikamatwa rasmi atalalamika eti huyo rafikio ndo amemsababishia. Lawama atazitoa kwake! Utagombana na rafiki yako pengine mnaweza kufanyiana mambo ya kuumizana, lakini mwanamke atajifanya victim tu!
Hata huko mbele akiendelea, atakuwa analalamika eti mme wake amekuwa mlevi kupingukia ndo maana anatoka nje! amini usiamini hayo ndo atakayosema akibanwa na ndugu! Always atatafuta mahala pa kurushia lawama!