Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Then that is suicide...
Kila jaribu lina Mlango wa kutokea kaka, hayo yamekutokea ili pia ujifunze kwamba, tunakuwa waaminifu kwa sababu tunawezeshwa na Mungu.
Ni kosa ambalo kama mwanadamu, hata wewe unaweza kujikuta unakosea.
Najua kibinadamu ni ngumu, lkn nakuombea neema ya Mungu ikutoe kwanza kwene hicho kifungo cha ulevi, halafu akupe Neema ya kujiuliza ni mangapi ww umemkosea Mungu lkn kwa huruma amekusamehe??
Na bado unaishi?? Mungu akupe neema ya pekee umsamehe mke wako, na umuombee na kumfundisha ili atoke ltk kifungo hicho kibaya.
Kumbuka wanandoa tunatakiwa tusaidiane ktk madhaifu yetu ili pia tuweze kumuona Mungu mwisho wa Maisha yetu.
Muonee huruma kwamba anaangamia, halafu uchukue hatua ya kumsaidia. Na huo ndio unaoitwa UPENDO WA KWELI.
we hawa hawajajikuta,wamekuwa{na labda wanaendelea na huu mchezo}kwa muda tu mpaka mwenyewe kagundua.ila ndugu'muibiwa' na 'kifua' unacho!!mi labda ningefanya tendo moja la kipuuzi sana.hebu hurumia wanao,kama umejiridhisha na kudanganywa na mkeo,muzee piga chini huyo mzinzi na tafadhali fanya kutengana mapema maana na mapenbe uliyoyachagua utakuja kumchinja bure siku moja afu ukajajuta baadae ukiwa ukonga na watoto wamekuwa wa mitaani.hebu weka ka-umbali kidogo for the gud of both of you!
Samahani waungwana ila a few monts ago nimeanza kubugia pombe kama maji. Nilikuwa nimemwamini sana mke wangu. nilimpa asilimia mia moja. nami baada ya ndoa sijawahi kumsaliti sasa yeye kaamua kutoka na my best friend. jamaa yangu kawaona live wanatoka guest house akaja kunambia. mimi nilikuwa na mashaka na mahusiano ya mke wangu na rafiki yangu tangu muda mrefu kwa sababu nikiwa na mke wangu nikikutana na rafiki yangu mwizi, mke wangu anaangalia chini na hawezi kabisa kumtizama jamaa. sasa imethibitika mke wangu anananihiwa na rafiki yangu. Sijamwambia kitu hadi sasa ila nimeanza kunywa pombe kama maji. Na hapa JF naomba msinishauri kuâcha pombe. Nimeweka thread hii kuwatahadharisha wale wenye ujinga kama wangu wa kumwamini mke 100%. Samahani yawezekana kuna wanawake waaminifu pia. Ila nimeacha kabisa kufanya the needful na mke wangu. hata akiwa uchi namwona kama mwanamme mwenzangu tu. Sijui kama nitakuja kugusa K maishani. Kila nikijisikia kudo nakamata bia. Kwaherini akina dada. Ninajua JF mna hekima na busara ila kwa sasa sihitaji ushauri wowote. Am married to vodka. Nawaasa tu wale walioweka 100% kwa wake zao. YAMENIKUTA. Naomba kuwasilisha wakuu.
maty nakubaliana na wewe na pia sikubaliani na wewe ivi kweli alikuwa ana communicate na mkewe kujua ana mridhisha au alikuwa anassume kwamba kwa kufanya hayo ndo kamaliza sitetei kucheat hata kidogo lakini mimi bado naamini kwamba mwanamke mara nyingi inakuwa ngumu sana kutembea nje ya ndoa lazima kuna sababu ambayo siwezi kuitetea bado huyu mama anahitaji msamaha embu fikiri wanawake wanaona mangapi na si mara moja bado tunasamehe na kujenga nyumba zetu kwanini kosa moja la mama lisiwe na msamaha
Unajua wakati naoa nilikuwa najidanganya ati hata nke wangu akinicheat siwezi paniki (wakati huo huo subconsciously naona hafanani na kucheat) sasa utamu wa kucheatiwa ndo nauona especially when ur not a member of INFIDELTY PARTY. Mkuu, ngoja kwanza nikaongeze mzinga mmoja wa konyagi halafu nitarejea.Hivi braza ulioa binadamu au ulioa malaika?
Why did you expected 100% kutoka kwa human being?
Unajua nisipokunywa hata usingizi haupatikani hata chembe. It acts as a temporary shock absorber as I attempt to trace my own self.USHAURI: Pombe haitatui matatizo, zaidi ya kuyaongeza. Hata hivyo kitendo alichofanya mkeo sio cha kwanza duniani; kwani wengi wanafanyiwa na wanaona kawaida. Kama una watoto, wafikirie kwanza ndipo huendelee na uamuzi wako wa kuchagua Vodka kuwa mpenzi wako.
Mheshimiwa, maneno yako yana bear the whole truth. Nakumbuka zamani nikiwa kijijini kwetu kuna jamaa alikuwa na mke kicheche sana. Akawa anamdunda hadi anapoteza fahamu. Akizinduka tu hata kabla ya kutafuta matibabu, anatafuta lijamaa jingine linamdinya tena. Hili gonjwa la infidelity huwa ni viral, its incurable. Msamaha for this creature is a non option.Ukisamehe huyo kicheche hakuna ushahidi kuwa hatarudia tena makosa yake. Na kama alifanya zaidi ya mara moja basi alikuwa anajua anachokifanya na alifanya kwa makusudi! Kosa la kucheat halitokeagi kwa bahati mbaya. Ni kosa la makusudi kwani mtu hadi unapofikia kuvua nguo na kudinyana na mwenzio lazima utakuwa umefikiria na kupanga. Sasa msamaha wa nini hapo?
Sasa utasamehe. Akirudia tena na tena bado utaendelea kusamehe? Huko kusamehe kikomo chake ni hadi aliwe mara ngapi?
Mzee najua sasa hivi najiadhibu kwa kula kinywaji ila naona na yeye adhabu inampata kali pia. Karibia wiki nzima amehangaika kunipakulia chakula cha usiku. Halafu MIMI NINAKIANGALIA TU. wakati mwingine ninakaa kwenye kiti nasoma gazeti yeye kajiandaa kwenye 6x6. When I see her thing mine contracts even more. Remember we are still in the same 6x6 hadi sasa wakati nikitunga sheria kila mtu aenda kipande yake. Ngoja kwanza nikachukue kabox ka penasol narejea.we hawa hawajajikuta,wamekuwa{na labda wanaendelea na huu mchezo}kwa muda tu mpaka mwenyewe kagundua.ila ndugu'muibiwa' na 'kifua' unacho!!mi labda ningefanya tendo moja la kipuuzi sana.hebu hurumia wanao,kama umejiridhisha na kudanganywa na mkeo,muzee piga chini huyo mzinzi na tafadhali fanya kutengana mapema maana na mapenbe uliyoyachagua utakuja kumchinja bure siku moja afu ukajajuta baadae ukiwa ukonga na watoto wamekuwa wa mitaani.hebu weka ka-umbali kidogo for the gud of both of you!
we hawa hawajajikuta,wamekuwa{na labda wanaendelea na huu mchezo}kwa muda tu mpaka mwenyewe kagundua.ila ndugu'muibiwa' na 'kifua' unacho!!mi labda ningefanya tendo moja la kipuuzi sana.hebu hurumia wanao,kama umejiridhisha na kudanganywa na mkeo,muzee piga chini huyo mzinzi na tafadhali fanya kutengana mapema maana na mapenbe uliyoyachagua utakuja kumchinja bure siku moja afu ukajajuta baadae ukiwa ukonga na watoto wamekuwa wa mitaani.hebu weka ka-umbali kidogo for the gud of both of you!
Mheshimiwa, maneno yako yana bear the whole truth. Nakumbuka zamani nikiwa kijijini kwetu kuna jamaa alikuwa na mke kicheche sana. Akawa anamdunda hadi anapoteza fahamu. Akizinduka tu hata kabla ya kutafuta matibabu, anatafuta lijamaa jingine linamdinya tena. Hili gonjwa la infidelity huwa ni viral, its incurable. Msamaha for this creature is a non option.
Mzee najua sasa hivi najiadhibu kwa kula kinywaji ila naona na yeye adhabu inampata kali pia. Karibia wiki nzima amehangaika kunipakulia chakula cha usiku. Halafu MIMI NINAKIANGALIA TU. wakati mwingine ninakaa kwenye kiti nasoma gazeti yeye kajiandaa kwenye 6x6. When I see her thing mine contracts even more. Remember we are still in the same 6x6 hadi sasa wakati nikitunga sheria kila mtu aenda kipande yake. Ngoja kwanza nikachukue kabox ka penasol narejea.