Behind any frustrated man there is a woman

asante nighttangle maana naona humu wamama ndo victim wakubwa wa makosa kwenye mahusiano na sisi ndo wakusamehe all the time lakini kwao ni ngumu hii inatakiwa ifanye kazi kwa wote wawili kama ulikosewa lazima utafute na wewe ulikosea wapi kabla ya hukumu huwez muamini mtu kwa asilimia 100 awe mwanaume au mwanamke na pombe huwa inahairisha matatizo kwa muda tena masaa:bump:


 
acha umandazi kijana . kwanza inaonekana huna uhakika kama ni kweli ila una hisi na kuambiwa . fanya uchunguzi wewe mwenyewe kwanza ili uwashike live .kisha ukisha mfumania piga chini wala usisumbue akili yako . tafuta kitoto kidooooogo kilaini tulia naye . wacha presha kijana . kata mti panda mti.
 

maneno yako matamu sana ila nikija huko halafu unichakachue tena sasa itakuwa kwishney
 

sasa juzi kati nilienda guest house alikokuwa akiliwa nke wangu nikamlipa kijana mhudumu 50000 nikaenda naye baa na kumwomba maelezo. when i described mgoni wangu, dogo aliweza kumtambua. na kunambia huja mara kwa mara hapo akibadilisha wanawake wawili. One of the two women is according to the description my wife. So mkuu bacho am sure 100%. sasa my plan ni kumpiga chini bila mjadala. let me find out how to handle my lovely kids
 
Yaani Chauro I loved my wife sana. Na sikuona kama simridhishi sexually. Maana nilikuwa namake sure natumia viungo vyangu vyote vya mwili kumwandaa na kumniniii (hadi kigeregere imagine) na nilikuwa nahakikisha anafika mlimani kabla yangu. Hakuna siku niliyotangulia kuchoka mimi. NOT ONE. Nimekuwa nikimgusa palipo. I know the landscape of her body. Nilitafuta maufundi from all sources and all tribes just for her. imagine mie siyo ishomire lakini nilikuwa nampiga katerero ya kufa mtu. I gave her everything na alionekana kuridhika sana na mimi but ndo ivo. Sasa sijui kumfanyia haya yote ndo aliniona mjinga¨!
 



piga chini .
 
have you confirmed that she cheated on you?
 

Mzee Tigger yaani kama ulikuwepo. Their hidden agenda was too evident. yaani wote wawili wameshindwa kabisa kuact. Na hiyo siku jamaa alishindwa kukaa muda mrefu. akaondoka haraka haraka tofauti na siku zingine. They both new their deal had come to light
 

Nakuelewa sana Acid kk angu, na huyu jamaa tatizo lake nimelielewa, ila najaribu kufikiria ingekuwa yy ndo kafanya hayo kwa mkewe,

Kwanza hapa neno Uvumilivu ndo lingechukua nafac yake, muombee, mpende zaidi, angalia ni wapi unakosea, lkn kwa sababu jamaa ni mwanaume siyasikii hayo, halafu kimsingi anakosea kufunga ndoa na hizo valuu,

Imagine angekuwa mwanamke angefikia hapo??? Wanaishiaga kusema ningeondoka lkn watoto wangu.
 
have you confirmed that she cheated on you?

Maybe I am not as smart as some of you here so I'm gonna need your help. Besides catching them in the act of fcuking (red handed) how do you confirm beyond a "shadow" of a doubt (not beyond a reasonable doubt) that your mate has cheated on you?

For all I know people cheat in secrecy. So if you don't catch them in the act you can never prove that you were cheated on. Text messages, love letters, dinner outings, et al don't prove that you have had coitus with someone other than your partner. So apart from catching them in the act, all evidence will be circumstantial. Are you going to break-up with your partner based on circumstantial evidence?

So when do you decide that enough is enough? What evidence are you going to base your decision on?

Which brings me to my next question. What do you consider to be cheating? Does sex have to be involved in order for cheating to be cheating?
 
maneno yako matamu sana ila nikija huko halafu unichakachue tena sasa itakuwa kwishney

Kila jaribu lina Mlango wa kutokea kaka, hayo yamekutokea ili pia ujifunze kwamba, tunakuwa waaminifu kwa sababu tunawezeshwa na Mungu.

Ni kosa ambalo kama mwanadamu, hata wewe unaweza kujikuta unakosea.

Najua kibinadamu ni ngumu, lkn nakuombea neema ya Mungu ikutoe kwanza kwene hicho kifungo cha ulevi, halafu akupe Neema ya kujiuliza ni mangapi ww umemkosea Mungu lkn kwa huruma amekusamehe??

Na bado unaishi?? Mungu akupe neema ya pekee umsamehe mke wako, na umuombee na kumfundisha ili atoke ltk kifungo hicho kibaya.

Kumbuka wanandoa tunatakiwa tusaidiane ktk madhaifu yetu ili pia tuweze kumuona Mungu mwisho wa Maisha yetu.

Muonee huruma kwamba anaangamia, halafu uchukue hatua ya kumsaidia. Na huo ndio unaoitwa UPENDO WA KWELI.
 
@Vegule
My advice still stands drinking wont solve anything... keep on keeping on...... as they say "there was a man who was crying because he had no shoes, until he found a man who had no feet" so whatsoever your problems there are people out there with more problems... and they just carry on.... when the going get rough, you gotta get tough (I still mean what I said on my reply up there ungekuwa karibu yangu ningekuzaba vibao)
 

Nowhere did I say that drinking was/ is the solution. Go back to the first page and read what I wrote.

Sasa sijui kwa nini ungenizaba vibao kama ningekuwa karibu yako. Walahi ungefanya hivyo mbona tungeenda rounds. Mama yangu hakunilea niwe punk....siku ile nilipoanza darasa la kwanza aliniambia kama mtu akinipiga basi na mimi nimrudishie tena twice as hard....lol. Na hiyo kanuni ya kutokukubali kuonewa nimeishikilia mpaka leo na siiachii hadi siku yangu mwisho.
 
mh umesemaje lukolo na wanaume wao huwa wanatupatia chocolate all the time:whoo:

Chauro, inawezekana nimekuwa too pessimistic juu ya wanawake lakini ukweli wanawake mnachangia sana kutuharibu wanaume. Mara nyingi baada ya haya mambo kutokea kila mtu huwa anakata tamaa kwa namna yake. mwingine anaamua kuingia kwenye pombe, mwingine anaamua kuwa infidel wa kupindukia mwingine anaamua kuhamia ofisini, nyumbani anarudi kulala tu. Kuepusha madhara ya haya mambo ni bora usimwamini mwenzako kwa asilimia 100. Kumbuka huyo si malaika. Kwa hiyo lolote laweza tokea.
 

Mkeo utaijua tu lugha yake ya mwili (ingawa wengine hapa wamenibeza kwa ku hint huenda yakawa maruweruwe yangu tu). Unalala naye, unaamka naye, mko pamoja kwa muda mrefu....sasa usimjue kama kuna mazingira yanayomfanya awe awkward? Tafadhalini bana..labda nyie lakini mimi si genious lakini pia si mjinga kiasi hicho. Kama kuna tofauti nitaiona tu na wala huhitaji kuwa msomi au rocket scientist kubaini utofauti wa tabia ya mkeo.
 

Whether your story is true or not, I've got to give it up to you for maintaining a sense of humor. You cracked me up for real.....hahahahaaaa.....
 
Kumpiga chini unaweza kuwa ni uamuzi wa haraka mno. Na kibaya zaidi inaonekana wameshashitukia kwamba umegundua. Otherwise baada ya kupata evidence kutoka kwa dogo ulitakiwa uweke mtego. Si wa kwenda kufumania ready handed bali hata kwenda kumshuhudia akitoka guest na jamaa. Unaongea na dogo akupigie simu jamaa wanapoingia. Halafu unakwenda kuwasubiria wanapotoka. Otherwise ukifanya haya mambo haraka, yatakugeuka; kwa kuwa tayari mna watoto na mmeshatafuta mali pamoja. Siunajua sheria zetu zinawalinda wanawake zaidi kuliko sisi?
 

Kuna baadhi ya watu humu sijui wanataka ushahidi gani tu. Kwa sababu hata kama ukimwona anatoka Guest House....so what? What does it prove?

Ila pia niseme, ni wajibu wa mtu pia kama yuko kwenye mahusiano ya mapenzi kutokumpa mwenzake sababu ya kufikiria labda anafanya kitu kibaya. Mind games ni mbaya sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…