VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,365
sorry tigger i meant to say vegulenowhere did i say that drinking was/ is the solution. Go back to the first page and read what i wrote.
Sasa sijui kwa nini ungenizaba vibao kama ningekuwa karibu yako. Walahi ungefanya hivyo mbona tungeenda rounds. Mama yangu hakunilea niwe punk....siku ile nilipoanza darasa la kwanza aliniambia kama mtu akinipiga basi na mimi nimrudishie tena twice as hard....lol. Na hiyo kanuni ya kutokukubali kuonewa nimeishikilia mpaka leo na siiachii hadi siku yangu mwisho.
Sorry kama sikukuelewa... (kunywa pombe kama maji ) to me that is a problem; second point kuna kitu kinaitwa tough love.... A akija kwangu akasema kwamba B kamsababisha aanze kufanya jambo ambalo sio la busara (in your case kulewa) nadhani anahitaji to be brought back to earth na sometimes kibao can work na kama ungenipiga no problem lakini message ingekuwa sent.
Sorry man the message was meant for vegule..... his message made me mad the boy needs tough love resorting to drinking is destroying himself for somebody elses mistake... samahani sana mkuuI am sensing maybe you are also inebriated because I don't see anywhere where me and you disagree. Teh teh teh.....maybe it's the freakin' weekend.....
Sorry man the message was meant for vegule..... his message made me mad the boy needs tough love resorting to drinking is destroying himself for somebody elses mistake... samahani sana mkuu
Samahani waungwana ila a few monts ago nimeanza kubugia pombe kama maji. Nilikuwa nimemwamini sana mke wangu. nilimpa asilimia mia moja. nami baada ya ndoa sijawahi kumsaliti sasa yeye kaamua kutoka na my best friend. jamaa yangu kawaona live wanatoka guest house akaja kunambia. mimi nilikuwa na mashaka na mahusiano ya mke wangu na rafiki yangu tangu muda mrefu kwa sababu nikiwa na mke wangu nikikutana na rafiki yangu mwizi, mke wangu anaangalia chini na hawezi kabisa kumtizama jamaa. sasa imethibitika mke wangu anananihiwa na rafiki yangu. Sijamwambia kitu hadi sasa ila nimeanza kunywa pombe kama maji. Na hapa JF naomba msinishauri kuâcha pombe. Nimeweka thread hii kuwatahadharisha wale wenye ujinga kama wangu wa kumwamini mke 100%. Samahani yawezekana kuna wanawake waaminifu pia. Ila nimeacha kabisa kufanya the needful na mke wangu. hata akiwa uchi namwona kama mwanamme mwenzangu tu. Sijui kama nitakuja kugusa K maishani. Kila nikijisikia kudo nakamata bia. Kwaherini akina dada. Ninajua JF mna hekima na busara ila kwa sasa sihitaji ushauri wowote. Am married to vodka. Nawaasa tu wale walioweka 100% kwa wake zao. YAMENIKUTA. Naomba kuwasilisha wakuu.
Vegule,
Kuna wengi kama wewe wanawaamini sana wake zao, ni wengi mno. Lakini ukweli wa kimaandishi unathibitisha kuwa wanawake ndo waanzilishi wa kuvunja TRUST. Tena bila sababu yoyote, out of blue. Wengi hawapendi hili, kuwa wanawake ni infidels zaidi kuliko wanaume, two to three times.
Wanawake huficha mno mambo haya ila ni rahisi kumjua kama ni mkeo. Wanaume wengi huishia kwenye frustration na ulevi na ufuska kama njia ya kupunguza hasira. Wanawake wakifanyiwa hivyo hulalamika kwa ndugu, jamaa na marafiki. Mwanaume ni vigumu kuwaambia ndugu zako, jamaa na marafiki; kwani watakushangaa kwa nini hujamfukuza?
Kitendo cha wanawake kulalamika huwasaidia na huweza kuendelea na maisha. Kitendo cha wanaume kutolalamika huwaangamiza na huishia kwenye mambo ya hatari kama hayo unayoyafanya. Jamii inayokuzunguka huona kuwa mwanaume ndo una makosa, kwani hawataelewa kwa nini unakuwa mlevi, hawataelewa kwa nini unakuwa fuska! ... Kumbe wewe unaamini unamkomoa mkeo kimya kimya, ila yeye analalamika ulimwengu mzima unakuona wewe ndo zumbukuku.
Ila ukweli ni kuwa, katika wanawake watano wanaokuwa cheated na waume zao; kuna wanaume kama ishirini wanaokuwa cheated na wake zao na hawasemi. Ukishajua hilo pengine utaona kuoa tena haifai, ila ndo ukweli. Uamue tu kuishi na mwanamke, ila kwa kuwa eti ni msafi, sahau!
Chagua moja, kuendelea kuishi na mwanamke msaliti au kutoishi na mwanamke kabisa kwani wanawake wote ni wasaliti (akipata opportunity ya kufanya hivyo). Ndo maana baadhi ya dini zinazuia wanawake kufanya kazi, zinazuia wanawake kuwa na wanaume ambao si ndugu in privacy, n.k. lakini bado wanawake wanatafuta njia tu ya kutoka. Amini usiamini, hata ufanyeje mwanamke akipata nafasi ya ku-cheat ata cheat tu regardless unamfanyia nini na wewe ni mwaminifu kwake kiasi gani.
Tatizo ni kuwa jamii imemjenga kumfanya mwanamke ajione mtendewa na si mtenda. Hata akikamatwa rasmi atalalamika eti huyo rafikio ndo amemsababishia. Lawama atazitoa kwake! Utagombana na rafiki yako pengine mnaweza kufanyiana mambo ya kuumizana, lakini mwanamke atajifanya victim tu!
Hata huko mbele akiendelea, atakuwa analalamika eti mme wake amekuwa mlevi kupingukia ndo maana anatoka nje! amini usiamini hayo ndo atakayosema akibanwa na ndugu! Always atatafuta mahala pa kurushia lawama!
Maybe I am not as smart as some of you here so I'm gonna need your help. Besides catching them in the act of fcuking (red handed) how do you confirm beyond a "shadow" of a doubt (not beyond a reasonable doubt) that your mate has cheated on you?
For all I know people cheat in secrecy. So if you don't catch them in the act you can never prove that you were cheated on. Text messages, love letters, dinner outings, et al don't prove that you have had coitus with someone other than your partner. So apart from catching them in the act, all evidence will be circumstantial. Are you going to break-up with your partner based on circumstantial evidence?
So when do you decide that enough is enough? What evidence are you going to base your decision on?
Which brings me to my next question. What do you consider to be cheating? Does sex have to be involved in order for cheating to be cheating?
Mkuu Shingo, maneno yako yamejaa ukweli mtupu ingawa yanaumiza sana. kwa kweli WANAWAKE NI WASIRI MNO. Sasa naamini inawezekana mwanamke akawa anacheat kila week na using'amue hadi kufa. Nadhani marriage is artificial and one of the highest illusions humankind has invented. In reality, there is no marriage. Nakutwangia thanks mkuu! I can see a way forwardVegule,
Kuna wengi kama wewe wanawaamini sana wake zao, ni wengi mno. Lakini ukweli wa kimaandishi unathibitisha kuwa wanawake ndo waanzilishi wa kuvunja TRUST. Tena bila sababu yoyote, out of blue. Wengi hawapendi hili, kuwa wanawake ni infidels zaidi kuliko wanaume, two to three times.
Wanawake huficha mno mambo haya ila ni rahisi kumjua kama ni mkeo. Wanaume wengi huishia kwenye frustration na ulevi na ufuska kama njia ya kupunguza hasira. Wanawake wakifanyiwa hivyo hulalamika kwa ndugu, jamaa na marafiki. Mwanaume ni vigumu kuwaambia ndugu zako, jamaa na marafiki; kwani watakushangaa kwa nini hujamfukuza?
Kitendo cha wanawake kulalamika huwasaidia na huweza kuendelea na maisha. Kitendo cha wanaume kutolalamika huwaangamiza na huishia kwenye mambo ya hatari kama hayo unayoyafanya. Jamii inayokuzunguka huona kuwa mwanaume ndo una makosa, kwani hawataelewa kwa nini unakuwa mlevi, hawataelewa kwa nini unakuwa fuska! ... Kumbe wewe unaamini unamkomoa mkeo kimya kimya, ila yeye analalamika ulimwengu mzima unakuona wewe ndo zumbukuku.
Ila ukweli ni kuwa, katika wanawake watano wanaokuwa cheated na waume zao; kuna wanaume kama ishirini wanaokuwa cheated na wake zao na hawasemi. Ukishajua hilo pengine utaona kuoa tena haifai, ila ndo ukweli. Uamue tu kuishi na mwanamke, ila kwa kuwa eti ni msafi, sahau!
Chagua moja, kuendelea kuishi na mwanamke msaliti au kutoishi na mwanamke kabisa kwani wanawake wote ni wasaliti (akipata opportunity ya kufanya hivyo). Ndo maana baadhi ya dini zinazuia wanawake kufanya kazi, zinazuia wanawake kuwa na wanaume ambao si ndugu in privacy, n.k. lakini bado wanawake wanatafuta njia tu ya kutoka. Amini usiamini, hata ufanyeje mwanamke akipata nafasi ya ku-cheat ata cheat tu regardless unamfanyia nini na wewe ni mwaminifu kwake kiasi gani.
Tatizo ni kuwa jamii imemjenga kumfanya mwanamke ajione mtendewa na si mtenda. Hata akikamatwa rasmi atalalamika eti huyo rafikio ndo amemsababishia. Lawama atazitoa kwake! Utagombana na rafiki yako pengine mnaweza kufanyiana mambo ya kuumizana, lakini mwanamke atajifanya victim tu!
Hata huko mbele akiendelea, atakuwa analalamika eti mme wake amekuwa mlevi kupingukia ndo maana anatoka nje! amini usiamini hayo ndo atakayosema akibanwa na ndugu! Always atatafuta mahala pa kurushia lawama!
Mkuu Shingo, maneno yako yamejaa ukweli mtupu ingawa yanaumiza sana. kwa kweli WANAWAKE NI WASIRI MNO. Sasa naamini inawezekana mwanamke akawa anacheat kila week na using'amue hadi kufa. Nadhani marriage is artificial and one of the highest illusions humankind has invented. In reality, there is no marriage. Nakutwangia thanks mkuu! I can see a way forward
Ndugu Pena, umenena. I have to get out of this shock first ndo nimefanye maamuzi. Kwa sasa i really to need time come back to myself. Wee acha tu. In life, I had never imagined that one day i woud be this irrational and emotinally unstable!Jambo gumu kama hilo haliamuliwi wakati ukiwa na hasira, huzuni, au msongamano wa mawazo. Endelea na maisha yako mengine kama kawa, then ukifika wakati ambao utakuwa emotionally stable, ndio ufanye maamuzi. Kwa sababu uamuzi wowote utakaoufanya lazima ukuathiri na wewe menyewe.
Usimpe adui yako furaha ya kuharibu maisha yako, na ya watoto wako.
Anaweza akawa amekufunga goli moja, lakini usijiongezee mawili zaidi we mwenyewe. Tafuta ushindi.
Leo nilipigiwa simu na rafiki wa kike wa mke wangu ati tukutane. Nilipoenda akaanza kusema ati mke wangu kampelekea malalamiko kwamba nimechange ghafla. Akanambia ati mke wangu anaomba radhi kama kuna kosa alifanya nimsamehe ila hakutaja kosa. Mimi nikamwambia (kwa hasira kidogo) sijachange am just the same. Tukaishia hapo nikaenda zangu.Vegule vipi babu unaendeleaje na mkeo? Ushamtosa?
Leo nilipigiwa simu na rafiki wa kike wa mke wangu ati tukutane. Nilipoenda akaanza kusema ati mke wangu kampelekea malalamiko kwamba nimechange ghafla. Akanambia ati mke wangu anaomba radhi kama kuna kosa alifanya nimsamehe ila hakutaja kosa. Mimi nikamwambia (kwa hasira kidogo) sijachange am just the same. Tukaishia hapo nikaenda zangu.

Gaijin ni kweli kabisa, wengine ni mbwa mwitu kwenye ngozi ya kondoo!Wazee wa zamani hukataza watu kuwa na marafiki wakishaingia kwenye ndoa.
Hii tabia ya matani na shemeji tunayoiruhusu majumbani mwetu ndo inayotugharimu
Hala hala jamani na marafiki zenu kwa spouses wenu
kweli hii dunia ina mambo shoga anampigia simu mumeo kusuluhisha kesi ya ndoa mi sijawahi ona nafikiri kuna haja ya kurudisha unyago watu wengine sijui hawakufuzwa nasikia hata hasira sijui utamsaidiaje dada kama huyu jaman kwanza in the first place shoga kapata wapi nguvu za kumpigia huyo mwanaume maswali mengi yanakuja kichwani mwangu:whoo: