Behind any frustrated man there is a woman

Saa hiyo pombe ndiyo itakayolelea watoto?achana nayo hilo kosa dogo kwetu faini yake sh 500
 
AAAHHH kimewauma wababe wa humu kila mshauri aaah muache hafai ni kicheche simply coz ni mwanamke na yanayofanywa na wanaume kila daily wanawake hawana uchunguuuu, mnajiona wajanja kumbe huwa ni kama nyani na kioo......
webaba mwenye tatizo pole vumilia tu kama wa mama wanavyo vumilia mijengoni.:teeth:
 
mnajiona wababe mi nawashangaa kukandamiza wanawake tuuuu, akizin mwanmke kosa ila mwanaume ni rijali nyamb****fu kabisa na kila mwanamke apate nafasi ya ku do out na afanye tuuuuu.......
 

we hawa hawajajikuta,wamekuwa{na labda wanaendelea na huu mchezo}kwa muda tu mpaka mwenyewe kagundua.ila ndugu'muibiwa' na 'kifua' unacho!!mi labda ningefanya tendo moja la kipuuzi sana.hebu hurumia wanao,kama umejiridhisha na kudanganywa na mkeo,muzee piga chini huyo mzinzi na tafadhali fanya kutengana mapema maana na mapenbe uliyoyachagua utakuja kumchinja bure siku moja afu ukajajuta baadae ukiwa ukonga na watoto wamekuwa wa mitaani.hebu weka ka-umbali kidogo for the gud of both of you!
 

sorrry,ilikusudiwa kusomeka 'mapombe'
 

Yes yes. Tinye mpaka tifeeeeeeeeee..............
 

Chauro, rejea maelezo yangu kuhusu mapenzi yangu na my infidel wife. Alikuwa akinena mwenyewe na nilikuwa naona mwenyewe na kuhakikisha beyond any reasoble doubt kwamba anafika tena kile kilele kikubwa anachochukua muda mrefu kushuka. Na akishuka ni anachukuliwa na usingizi kabisa. I used to leave no stone unturned. Yaani (kama wewe ni she) unataka hadi nionyeshe practically asee. Sorry, dont be offended.
 
USHAURI: Pombe haitatui matatizo, zaidi ya kuyaongeza. Hata hivyo kitendo alichofanya mkeo sio cha kwanza duniani; kwani wengi wanafanyiwa na wanaona kawaida. Kama una watoto, wafikirie kwanza ndipo huendelee na uamuzi wako wa kuchagua Vodka kuwa mpenzi wako.
 
Ukisamehe huyo kicheche hakuna ushahidi kuwa hatarudia tena makosa yake. Na kama alifanya zaidi ya mara moja basi alikuwa anajua anachokifanya na alifanya kwa makusudi! Kosa la kucheat halitokeagi kwa bahati mbaya. Ni kosa la makusudi kwani mtu hadi unapofikia kuvua nguo na kudinyana na mwenzio lazima utakuwa umefikiria na kupanga. Sasa msamaha wa nini hapo?

Sasa utasamehe. Akirudia tena na tena bado utaendelea kusamehe? Huko kusamehe kikomo chake ni hadi aliwe mara ngapi?
 
Hivi braza ulioa binadamu au ulioa malaika?

Why did you expected 100% kutoka kwa human being?
Unajua wakati naoa nilikuwa najidanganya ati hata nke wangu akinicheat siwezi paniki (wakati huo huo subconsciously naona hafanani na kucheat) sasa utamu wa kucheatiwa ndo nauona especially when ur not a member of INFIDELTY PARTY. Mkuu, ngoja kwanza nikaongeze mzinga mmoja wa konyagi halafu nitarejea.
 
Unajua nisipokunywa hata usingizi haupatikani hata chembe. It acts as a temporary shock absorber as I attempt to trace my own self.
 
Mheshimiwa, maneno yako yana bear the whole truth. Nakumbuka zamani nikiwa kijijini kwetu kuna jamaa alikuwa na mke kicheche sana. Akawa anamdunda hadi anapoteza fahamu. Akizinduka tu hata kabla ya kutafuta matibabu, anatafuta lijamaa jingine linamdinya tena. Hili gonjwa la infidelity huwa ni viral, its incurable. Msamaha for this creature is a non option.
 
Mzee najua sasa hivi najiadhibu kwa kula kinywaji ila naona na yeye adhabu inampata kali pia. Karibia wiki nzima amehangaika kunipakulia chakula cha usiku. Halafu MIMI NINAKIANGALIA TU. wakati mwingine ninakaa kwenye kiti nasoma gazeti yeye kajiandaa kwenye 6x6. When I see her thing mine contracts even more. Remember we are still in the same 6x6 hadi sasa wakati nikitunga sheria kila mtu aenda kipande yake. Ngoja kwanza nikachukue kabox ka penasol narejea.
 


Okey, pamoja na yote hayo, je mama huyu hawezi kupewa nafasi nyingine ya kutubu makosa yake,
Na kusamehewa, kwa maana ya kwamba hatarudia tena??
 

Unajua ni kweli mtu akikufanyia kitu ambacho wewe hukifanyi kinauma sana,
Lakini kwa sasa mimi nahisi huwezi kuwa na maamuzi sahihi ukiwa katika hio hali ya kulewa,

Kuna kawaida hii hapa kwenye jamii, mtu akikutukana halafu kesho akiwekwa kwenye baraza,
akisema, samahani sikukusudia ila nilikuwa nimekunywa nikalewa, basi utasikia tu,

Ee bwana ukinywa pombe zako nenda kalale, usitukane watu, na kesi inaisha.
Kwa hio nahisi sasa hivi akili yako haipo katika hali nzuri, ya kufanya maamuzi katika swala zito na gumu kama hili.

Naomba utulie, acha pombe hizo, mwombe Mungu, then fanya maamuzi. Ambayo hata siku za mbele hutasema lakini unajua zile pombe zilichangia katika yale maamuzi. Sikutakiwa kuamua vile.

Samahani lakini.
 

maliza hii maneno na utafurahia maisha,kusamehe is letting go..is a part of healing process.kama kukoma am sure ameshakoma...trust me hatarudia tena.
NB:bado najitolea kuwa shock absorber....aka kidumu.😛arty:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…