Behind the curtain: September 11

Hii imekuwa fupi sana.
 
Asante mkuuu
 
Asante sana The bold kwa kunifafanulia hasa hilo swali la wapi wanapata taarifa....maana naona kila mwana-ushirika anayehudhuria kama anakula kiapo kitakatifu vile cha kutotoa siri hasa kwa watu wenye uchungu na nchi yao.

Ila bado najiuliza...endapo mwanaugaidi akakamatwa, akateswa mpaka kutoa siri...je akiachiwa huru....akifanikiwa kurejea kwenye kundi lake la kigaidi huwa wanamwacha hai kweli?
Na kumbuka kuna wanaugaidi wengine wanakamatwa wakiwa na nia thabiti kabisa ya kutekeleza shambulio...ila ndio wanaangukia mikononi mwa wanausalama, je hao wanachama wao hawaoni kama kumuua ni kutotenda haki kwa mwanachama mwenzao maana alikuwa katika jukumu la kikazi?
🙄🙄🙄🙄🙄
 
Dah naona kama hizi ni makala za edward swornden ......jasusi la CIA ambalo limetoa siri za usa worldwide through his web sites wikileaks
 
Mkuu The bold, majaribio ya mpango wa KSM kulipua ndege 11 za marekani hayakufanywa kwa kutumia ndege binafsi, jaribio lilifanyika kwa ndege ya abiria, ila haikuripuka angani, ilifanikiwa kutua, huyo mjapani aliefariki alikuwa ni abiria na sio pilot, kwa mujibu wa wikipedia Bojinka plot - Wikipedia
Na jaribio lilifanywa na Yousef Ramzi

@thebold
 
Nilisoma mahali kuwa kipindi Urusi wapo Afghanistan biashara na ulimaji wa cocaine ulishamiri ilifika hatua 60% ya cocaine duniani ilikuabinatoka Afghanistan.
Mojawapo ya vita vya mujahideen/ taliban ilikua ni kumtoa mrusi na kukomesha ulimaji wa coce.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…