Sasa waarabu nao hawafiliii yaan akil zao za usiku kweli!! Kama n kweli Hvo ndivo Al Quaida ndo ilivoanza bila shaka ndo imeleta kuibuka kwa vikundi vyote vya kiislam duniani pote !! Ni kweli nchi nyingi Africa na Asia zimekua zkikandamizwa na nchi za magharibi ikiwemo Marekani !!... Lakin swali linakuja Je kwa kufanya hivo wamejikomboa kutoka ugandamizaji au wameleta majanga makubwa s ktk nchi za magharibi Ila wameileta jehanam kubwa nchin mwao na Uarabuni ...Ebu ona Leo watu wanavokufa ,raia nchi za Syria ,Afghanistan ,Pakistan ,Iraq ,Yemen, mabilion ya watu ...sehem nyingi yamekua magof na wananchi wamekua wakimbiz tena sasa syo vita kati ya magharibi Ila hata wao kwa wao!!... Tena vikund hivi vimefka afrika somalia,Nigeria ,misri n.k huku wanaua waafrika wenzao na s watu wa magharibi!!....Ieleweke kwamba hawa wenzetu upeo wao si mzuri baada ya kutatua tatzo wao wanaongeza !! Mi nafikir hapa elimu inahusu!!...
Lakin tuangalie Nchi kama China tatizo hilo hilo lakin wamelisolve kwa akili na hekima kubwa !! Wanajua syo vita ya mtutu Ila vita yake n kiuchumi hapo ndipo unaweza kujinasua ktk ubabe bila kuangamiza vizazi vyako!!....Na sasa marekani na nchi za magharibi zinaiheshimu China kwan s ya kitoto tena!...Mi nafikir Afrika na hawa wenzetu waarabu wana cha kujifunza hapa!!