Behind the curtain: September 11

Behind the curtain: September 11

hahaha the bold kuna time nakuwa addicted nikiingia intelligence huwa naangalia kama umetupia mambo mapya nikikosa naanza kukusoma za previous daahh kama teja vile nimekuwa
 
Hawa Wamarekani Mabwege sana sana!
Vijana walitaka kufundishwa urubani chap chap bila ya kufundishwa kutua na kurusha Ndege kwa kuwa walijua lengo Lao ni kuzichukua Ndege angani baada ya kurushwa na kwenda kuzibamiza majengoni hakuna haja ya kujifunza kuzitua

Kuna Kitabu kinaitwa 'Bush at war ' ni hataree sana hakijaacha kitu atakaefanikiwa kuzuru Maktaba za Kimataifa akitafute
 
Ilikuwa noma,watu 3,000 kasoro wa3 sio kitu cha kutania.alichokifanya G.Bush president of USA wakati huo nakifananisha na serikali yetu inachokifanya ktk suala la unga.

Bush aliamuru jeshi kwenda kupasua milima Afghanistan huku wakimwacha adui mjini tena pembeni ya kambi ya jeshi,hapa kwetu napo RC kwa mamlaka aliyopewa na boss wake anaamuru watuhumiwa wa unga wakaripoti wenyewe vituoni na kutaja mapusha wa Tandale,Tandika wengine wa Mbezi Makabe huku maadaui wakuu wakizunguka mijini ku-check situations na kujipanga kama nao watabanwa wafanyeje.

Hapa tunajifunza kwamba ku-panic sio kuzuri vita ni kujipanga sio kuropokwa tu fanya hivi fanya vile mwisho G.Bush alifail mwenzake akaja na mipango akashinda vita.mkuu the @bold nashkuru kwa story hii japo naweza kuwa nimeanzisha mada katikati ya mada yako ila nisamehe kaka.
 
The bold hivi kichwa yako ilitengenezwa maalum nini, maana hivi vitu sio vya kawaida ukisoma story zako utasema na wewe ni mshiriki ndani yake
 
hahaha the bold kuna time nakuwa addicted nikiingia intelligence huwa naangalia kama umetupia mambo mapya nikikosa naanza kukusoma za previous daahh kama teja vile nimekuwa
Hahahahah.! Shukrani sana chief.. Am honoured
 
Back
Top Bottom