Behind the curtain: September 11

Behind the curtain: September 11

[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] shukran @ The Bold kwa hadithi hii isiyoisha hamu. Nausubiria kwa hamu mwendelezowe, ukitoka tu ni-tag na mimi.
 
Yaani jf hata kama ulikua unajieshimu unaeza anza kutukana tena matusi ya nguoni!! Hili jambo la mtu mzima kuquote Uzi mzima afu anamalizia na vineno vinne au hata nae anamaliza na maneno kibaooo! Yaani inakera sana aisee, ikizingatiwa kwamba ishalalamikiwa sana ila watu wanarudia tu!!!
 
Back
Top Bottom