Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
-
- #621
se
hemu ya nne imetoka nn??
Tazama post # 1 pale mwishoni nimewwka link tayari ya sehemu ya 4, 5 & 6welcome back bro tunasubiria hapa
Pamoja sana Mkuu..[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] shukran @ The Bold kwa hadithi hii isiyoisha hamu. Nausubiria kwa hamu mwendelezowe, ukitoka tu ni-tag na mimi.
Pamoja sana Mkuu..asante mkuu The bold...!!!!!
Tayari Mkuu.. Link ya sehemu ya 4, 5 & 6 nimeweka pale mwishoni post # 1kaka the Bold tuwekee link kule juu tupate urahisi wa kuipata
Shukrani Mkuu..we jamaa uko vizuri
Link ziko pale mwishoni mwa post # 1 kwa ajili ya sehemu ya 3, 4, 5 & 6Naandika neno nipate updates. Sehem ya 3 iko wapi wadau?
Pamoja sana Mkuu..Ahsante sana mkuuu
Check me on WhatsApp - 0718 096 811Nikitaka kujiunga kwenye group ya watsapp nafanyaje
Unaweza ikiwa tu unatumia kijambio kufikiri.Jamani hivi mtu unawezaje kuquote Uzi mzima? Kha!!
5000 × 250= 1250000/=Check me on WhatsApp - 0718 096 811
(Kuna fee ya elfu tano kwa mwezi)
Asante sana mkuu wangu nimeshaziona nasubiri madude ya jumatano.Pamoja sana Mkuu..
Sehemu ya 4, 5 & 6 tayari zimetoka.. Tazama link pale post # 1 mwishoni
Tayari Mkuu.. Link ya sehemu ya 4, 5 & 6 nimeweka pale mwishoni post # 1
Tazama vizuri zinafuatana.. Ukimaliza ya nne shusha chini utaona nyingineThank u kaka, nimeiona ya 4 ila ya 5 na 6 sijaiona bado