Behind the curtain: September 11

Behind the curtain: September 11

Ningeshangaa sana kama mtu makini kama wewe husomi hizi mambo.
Kama isingekuwa ile "pasipo silaha, chuki au ukatili" basi ingekuwa hii "September 11"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hivi internet huwa zinawasaidia nini? Huwa nashindwa hata kuwashangaa watu wa sampuli yako.

Ccm itatawala milele mpaka pale kizazi zembe kama hichi kisicho hata na chembe ya udadisi kitakapotomea.

Google is ur user friend brother.

View attachment 475669
Sasa matola ukitaka kila mtu awe kama wewe ndipo unapokosa busara mkuu, we tumia internet uwezavyo wasojua kutafasiri au kutafuta habari waache waendelee na safari zao, do u think u know much? Pole mkuu
 
Asanta sana The bold, tuko pamoja Sana tatzo nimejaribu kujiunga kwa group ya whatsapp inagom kwangu, nikutumie namba yangu uniunge? Niko Namíbia
 
Kama isingekuwa ile "pasipo silaha, chuki au ukatili" basi ingekuwa hii "September 11"

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe chizi sana ujue?
Absolutely,hii umenishika baba.
Siwezi kuelezea kiasi ninachoipenda hii makala.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Wewe chizi sana ujue?
Absolutely,hii umenishika baba.
Siwezi kuelezea kiasi ninachoipenda hii makala.
You welcome Cheupe wangu.. Unajua vile napendaga nikiandika kitu alafu roho yako ifurahi.. [emoji7]
 
Back
Top Bottom