kwamwewe
JF-Expert Member
- Jul 15, 2010
- 1,908
- 604
Mkuu kwamwewe,
Tafadhali acha kuquote Uzi wote kwa kurudia rudia ili uweke post.. Unaweza kuweka post zako bila kuquote na zikaonekana..
Si unaona watu wote humu tunaweka post zetu bila kuquote hovyo hovyo??
Unasababisha usumbufu mkubwa sana kwa watumiaji wa app kwenye simu..
Thanks mkuu kwa ukumbusho . sitarudia tena na samahani kwa wale niliowakwaza