Behind the curtain: September 11

Mkuu The Bold,

Unastahili malipo mazuri sana kwa hizi makala zako murua! Naamini ukimaliza mfululizo wa hizi makala angalau tutapata baadhi ya majibu ya maswali ya mwandishi Michael Moore katika kitabu chake "Dude,where is my country?" ,maswali aliyoyaelekeza kwa Rais George W Bush akimtuhumu kuhusika na kujenga mazingira yanayohusiana na mashambulizi yale kwa namna fulani

Je, serikali ya Bush ingehusika ili ifaidike na nini?

Mvujisha siri Edward Snowden Naye aliwahi kusema kwamba Osama Bin Laden bado yu hai akipewa hifadhi na serikali ya Marekani kwa maisha ya kifahari Sana. Kuna ukweli hapo? Vipi uwezekano wa "Geranimo" kuwa geresha?

Naendelea kukufuatilia mkuu

Asante Sana!
 




Watch these films of Western Scientists and honest Patriots that indisputably confirm that 9/11/2001 was an inside terrorist job by the US Government and the Israeli Mosad.


Loose Change Film: http://www.youtube.com/watch?v=yyiwOJ2pnGg. Very powerful evidence, exposing the conspiracy, presented in this video!


http://video.google.com/videoplay?docid=-649993991751648213 (9/11 Justice)



9/11: The biggest lie in history!
(Part I)

No human-bodies, no airplane-debris of Boeing 757, and no luggage were found! Also, no noise was either recorded or detected by any ordinary person!


Building 7 & Twin Towers Demolition ("Deceptions" part 2) Did the building really collapse on its own?


Painful Questions about September 11 -Part 1.

Pentagon attack Analysis ("Deceptions" part 1)


Media Deception from Oklahoma to 911 ("Deceptions" part 3)

http://video.google.com/videoplay?docid=5651675924179685534&q=loose+change&hl=en (part 1)



http://video.google.com/videoplay?docid=7866929448192753501&q=loose+change&hl=en (part 2 and this one discusses the pentagon and united 93 crashes in more detail)
 


HIZI VIDEO ZOTE WAMEZIBLOCK KWANI ZINAWAUMBUA VIBAYA SANA
 
Shukrani sana mkuu..

Nadhani mpaka tukifika mwisho tutakuwa tumepata majibu mengi ya maswali kadhaa..
 



THE LIES OF 9/11/2001

Missing 2.3 Trillion Dollars is one of the main causes for 9/11

Donald Rumsfeld admitted $2.3 Trillion missing on 9/10/2001;
one day before 9/11!!



It was clearly a drone or a missile that hit the pentagon, and WTC7 came down by controlled demolition explosions from bottom-up, almost simultaneously! Also, it's been scientifically proven that military-grade Thermite was used to melt the WTC pillars, which caused the buildings to collapse. 9/11 was 100% an Israeli Mossad operation! See also: The Hijacked Bible.
 
Mkuu kwamwewe,

Tafadhali acha kuquote Uzi wote kwa kurudia rudia ili uweke post.. Unaweza kuweka post zako bila kuquote na zikaonekana..

Si unaona watu wote humu tunaweka post zetu bila kuquote hovyo hovyo??

Unasababisha usumbufu mkubwa sana kwa watumiaji wa app kwenye simu..
 




George Bush admitted that bombs were planted in the WTC (World Trade Center) Buildings:





Also visit: www.youtube.com/QuranSearchCom
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…