Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,717
- Thread starter
- #861
Pamoja sana..Asante sana mkuu, uko vizuri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pamoja sana..Asante sana mkuu, uko vizuri sana.
Yaaani The Bold tuache utani, unanikumbusha mbali na huu uraibu wa stori zako, unajua miaka flani iv niko primary kulikua kuna kipindi cha mama na mwana kinarushwa na RTD yaani radio tanzania dar es salaam kikihostiwa na Eda sanga na wenzake wengine nishawasahau basi walikua wanakirusha saa saba mchana yaani nikajikuta siwezi kukikosa hicho kipindi na zile hadithi za Bibi Aga, ndivyo ilivyo sasa na mastori yako na maarifa yangu yote najikuta na tumbua mimacho nikisoma hizi stori na wakati nilisha jizuwia na uraibu wa tamthilia za kikorea na kimarekani kwa kua zinanitupia mda sana ila all in all hongera wee unajua kweli.
Ushauri: kua makini na masuala ya umiliki wa kilicho chako maana wa tz hawakawi kuipublish halafu wakajimilikisha.
Shukrani mkuu..Shukrani sana mkuu The Bold,nafatilia kwa karibu sana.ukweli uko vizuri,unanikumbusha enzi za mtunzi mahiri ELVIS MUSIBA (R.I.P)na vitabu vyake kumuhusu Willy Gamba.
Shukrani mkuu..Bravo mkuu, simulizi zako zipo vizuri
Shukrani chief.. Pamojadah nazipenda san story zako chalii The bold....
Bila shaka mkuu.. PamojaNimekubali sana kazi yako mkuu the Bold, naomba hiyo j'3 "usinisahau kwenye ufalme wako"
Pamoja sana!
Ni kweli hiki ni kipachi cha pekee, tena kama wenye mamlaka hawajawahi kumwomba huyu jamaa kuisaidia nchi kwenye masuala yanayohusu uwezo wake huu, basi siku wakija kushtuka wanaweza kukuta uwezo huo umeanza kupungua!
Mkuu fungua blog/website kama za kina millard au michuzi we uwe unaweka vigongo tu kama hivi noti njenje.
Mbona hata hapa jamiiforum tunasoma bure na watu wanaendelea kulipa huko kwenye group? Bado ana fursa za kupata hela na kujitangaza.Acha kiherehere.Tatizo mtakua mnasoma bure na kumsifia wakati yeye haingizi chochote mwendo huu huu wa wasap unalipia ndo upate vigongo na yeye kakaa zake kwake anaingiza pesa hayo mambo ya kina milad kupgwa jua ndio upate pesa hatutaki..
Cc: The bold.
Mbona hata hapa jamiiforum tunasoma bure na watu wanaendelea kulipa huko kwenye group? Bado ana fursa za kupata hela na kujitangaza.Acha kiherehere.
Haya mke wa The bold umeeleweka.Tumeamua za wasap zinamtosha na yeye ajaamua kua shigongo we mtoto wa bibi....acha kujifanya bwana ushaur huku unakula kwa bibi..!!
Haya mke wa The bold umeeleweka.
Vipi mumeo huko kwenye group kaishusha mpaka sehemu ya ngapi? Huwezi fanya maarifa kidogo bibie na sie tukazipata leo?Haya mke wa The bold umeeleweka.
Huko kwenye group mumeo kazishusha mpaka sehemu ya ngapi? Fanya maarifa basi bibie tupate sehemu ya kumi.Wewe endlea kuwapaka dada zako mascala mana ndio kaz ako haya mengine tuliza mpapa.
Huko kwenye group mumeo kazishusha mpaka sehemu ya ngapi? Fanya maarifa basi bibie tupate sehemu ya kumi.
Basi shemeji ngoja tukalipie huko kwenye group,mi napenda wanawake wanao support waume zao,sema shemeji na wewe unaonekana umempanda mumeo kichwani.Hili ndio tatzo la kulelewa na bibi sijui mama ako alkua wap laZma upende kuteleza hata kama sehem ni kavu......
Basi shemeji ngoja tukalipie huko kwenye group,mi napenda wanawake wanao support waume zao,sema shemeji na wewe unaonekana umempanda mumeo kichwani.N