Behind the curtain: September 11

Hahahaha mkuu umenikumbusha mbali sana kuhusu RTD na akina Eda Sanga..

Salute kiongozi! Pamoja sana mkuu AVRAM..
 
Mkuu fungua blog/website kama za kina millard au michuzi we uwe unaweka vigongo tu kama hivi noti njenje.
 
Ni kweli hiki ni kipachi cha pekee, tena kama wenye mamlaka hawajawahi kumwomba huyu jamaa kuisaidia nchi kwenye masuala yanayohusu uwezo wake huu, basi siku wakija kushtuka wanaweza kukuta uwezo huo umeanza kupungua!

Na kama mkuu unaisaidia nchi/jamii kwa namna nyingine kwa kutumia kipaji chako hiki, mbali na hii elimu ya bure unayoendelea kuitoa hapa, Mungu akubariki zaidi na zaidi!
 
Mkuu fungua blog/website kama za kina millard au michuzi we uwe unaweka vigongo tu kama hivi noti njenje.

Tatizo mtakua mnasoma bure na kumsifia wakati yeye haingizi chochote mwendo huu huu wa wasap unalipia ndo upate vigongo na yeye kakaa zake kwake anaingiza pesa hayo mambo ya kina milad kupgwa jua ndio upate pesa hatutaki..
Cc: The bold.
 
Mbona hata hapa jamiiforum tunasoma bure na watu wanaendelea kulipa huko kwenye group? Bado ana fursa za kupata hela na kujitangaza.Acha kiherehere.
 
Mbona hata hapa jamiiforum tunasoma bure na watu wanaendelea kulipa huko kwenye group? Bado ana fursa za kupata hela na kujitangaza.Acha kiherehere.

Tumeamua za wasap zinamtosha na yeye ajaamua kua shigongo we mtoto wa bibi....acha kujifanya bwana ushaur huku unakula kwa bibi..!!
 
Tumeamua za wasap zinamtosha na yeye ajaamua kua shigongo we mtoto wa bibi....acha kujifanya bwana ushaur huku unakula kwa bibi..!!
Haya mke wa The bold umeeleweka.
 
Haya mke wa The bold umeeleweka.
Vipi mumeo huko kwenye group kaishusha mpaka sehemu ya ngapi? Huwezi fanya maarifa kidogo bibie na sie tukazipata leo?
 
Wewe endlea kuwapaka dada zako mascala mana ndio kaz ako haya mengine tuliza mpapa.
Huko kwenye group mumeo kazishusha mpaka sehemu ya ngapi? Fanya maarifa basi bibie tupate sehemu ya kumi.
 
Huko kwenye group mumeo kazishusha mpaka sehemu ya ngapi? Fanya maarifa basi bibie tupate sehemu ya kumi.

Hili ndio tatzo la kulelewa na bibi sijui mama ako alkua wap laZma upende kuteleza hata kama sehem ni kavu......
 
Hili ndio tatzo la kulelewa na bibi sijui mama ako alkua wap laZma upende kuteleza hata kama sehem ni kavu......
Basi shemeji ngoja tukalipie huko kwenye group,mi napenda wanawake wanao support waume zao,sema shemeji na wewe unaonekana umempanda mumeo kichwani.
 
Basi shemeji ngoja tukalipie huko kwenye group,mi napenda wanawake wanao support waume zao,sema shemeji na wewe unaonekana umempanda mumeo kichwani.N

Nimekuambia tuliza mpapa huo kakutane nae huko huko grup na ajabu me grup sipo ndo ushangae kwanin baamed kakataa kiloba anataka bia.....
 
The bold naomba ufungue blog ili tukutembelee kwenye hiyo blog huku tukifaidika na haya mastory basi na wewe uwe na google adsense uingize mpuga ndugu yangu, vinginevyo tutasoma na kuondoka lakini kwenye blog tayar mpaka sasa una viewes wa kutosha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…