Behind the curtain: September 11

Nimekuambia tuliza mpapa huo kakutane nae huko huko grup na ajabu me grup sipo ndo ushangae kwanin baamed kakataa kiloba anataka bia.....
"Japo kunguru ni mwoga, lakini wangapi wamekufa!?" Hebu epusha bawa lako mkuu, funika kombe......., ili tusiendelee kuchafua nyuzi hii.
 
The bold naomba ufungue blog ili tukutembelee kwenye hiyo blog huku tukifaidika na haya mastory basi na wewe uwe na google adsense uingize mpuga ndugu yangu, vinginevyo tutasoma na kuondoka lakini kwenye blog tayar mpaka sasa una viewes wa kutosha
Shukrani sana mkuu.. Nitakifanyia kazi hili.!
 
Sorry mkuu the @bold,bro nashindwa kuzisikiliza hizi unazosema sauti za hawa magaidi na wanaoomba msaada kuna post yako umesema umezituma via W'app,kama hutojali kaka nielekeze jinsi ya kuifikia hiyo hatua...nataka kuzisikia yaani kichwa kinanigonga kushindwa kuzisikiliza.

Maneno nimeyaona ndiyo ila shida yangu ni kuzisikia sauti zao.thanks in advance.
 
Wee jamaa umuniconfuse, hebu rudia
 
Nicheki WhatsApp nikutumie..

0718 096 811


Na mwingine yeyote anayehitaji.. Nijulishe WhatsApp nikutumie..!!

- Sauti ya Atta
-Sauti ya Rubani, "Mayday"
-Sauti ya Jarrah
- Sauti ya Muhudumu flight 93 akimuaga mumewe kwenye simu
 
Nicheki WhatsApp nikutumie..

0718 096 811


Na mwingine yeyote anayehitaji.. Nijulishe WhatsApp nikutumie..!!

- Sauti ya Atta
-Sauti ya Rubani, "Mayday"
-Sauti ya Jarrah
- Sauti ya Muhudumu flight 93 akimuaga mumewe kwenye simu
 
Nicheki WhatsApp nikutumie..

0718 096 811


Na mwingine yeyote anayehitaji.. Nijulishe WhatsApp nikutumie..!!

- Sauti ya Atta
-Sauti ya Rubani, "Mayday"
-Sauti ya Jarrah
- Sauti ya Muhudumu flight 93 akimuaga mumewe kwenye simu
Shukrani kaka.ubarikiwe sana.
 
Debora mwenda mkuu....ile sauti yake...kwa namna alivyokuwa anahadirhia.....hutoki redioni...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…