Behind the curtain: September 11

Behind the curtain: September 11

Hivi The bold ....huyu jamaa ..jasusi la CIA edward snowdern sasa yupo wapi...maana maika sasa sijamsikia au na yy tayari kawekwa kimya nn!??
 
Mmmmmh! Kweli huu ni uhondo, mapemaa tu nami nimeuotea leo.
Kubali san kaz zako the Bold, kuna kitu kinazid kufunguka kchwani humu.....sio mchezo, kuna siri kubwa hapa....

Kazi njema mkuu, nasubiria j'tano.
Karibu sana mkuu! Shukrani..

J'5 kesho tu.. We almost there
 
Mwandishi Prof Michel Chossudovsky wa Global Research ameeleza vizuri sana kwenye kitabu chake kinachoitwa America’s “War on Terrorism”.

Amejaribu kuonyesha ni kwa jinsi gani America inavyotengeneza picha mbele ya uso wa dunia kama hizi Terror Groups ni maadui zake lakini behind the scene wao ndiyo wamezicreate hizi groups for their benefits.

Kwenye hii kitabu ameeleza mpaka siku chache kabla ya tukio la September 11 kuwa Osama alikuwa Abu Dhabi hospitalini akipata matibabu na CIA walikuwa wanafahamu alipo. So kimsingi Al-Qaida is a creation of CIA.
 
Back
Top Bottom