Behind the curtain: September 11

Behind the curtain: September 11

Mkuu the bold tufafanulie hapo ilikuwaje kikao cha kuzaliwa al qaeeda kikafanyika 1988 wakati wakati huo mrusi alikuwa hajaondoka afghanistan na marekani bado walikuwa na alliance na mujahedeen?
Naomba nimjibie kama nitakuwa nje nadhani ataongezea vitakavyopungua
The bold

Al-Qaeda ilianzishwa wakati vita ya Soviet–Afghan War ikiendelea vita iliyopiganwa miaka 9 , mwezi 1 , wiki 3 na siku 1 yani kuanzia December 24, 1979 – February 15, 1989 na waanzilishi wa Al-Qaeda alikuwa ni Osama bin Laden na Abdullah Azzam na vikao vyao vingi vilikuwa vinafanyika UK mpaka mwaka 1992 Makao makuu ya Al-Qaeda yaliamia mji wa Sana'a nchini Yemen ambapo shambulio la kwaza la kigaidi walilofanya Al- Qaeda lilifanyika December 29, 1992 nchini Yemen na yalikuwa yanaelekezwa kwa Raia wa kigeni waliokuwa ndani ya Movenpick Hotel na Goldmohur Hotel katika mji wa Aden nchini Yemen

Command zote zilikuwa zinatoka Yemen kuelekea sehemu mbalimbali duniani Al-Qaeda walipokuwa wanafanya harakati zao

Na vita vile vilikuwa vikundi zaid ya 9 vikiongozwa na Mujahideen ving vya vikundi hv kwa sasa vimegeuka na kuwa vyama vya siasa nchini Afghanistan thanx to ISI - Inter Service Intelligence wamefanya kazi kubwa na yenye weledi mkubwa sana ktk vita vile .
 
Shukrani..
Stay tuned!
The Bold
Niseme tu kwa aina ya uandishi wako unavutia, lakini hili la 911 kama unaamini Osama na kikundi chake ndio walipanga na kutekeleza 911 ni wazi hujafanya utafiti wa kutosha.

911 ni inside job ya siri-kali.
Google )911 inside job or 911 truth utapata taarifa za kujiridhisha kwamba 911 ni 2Pearl habour.
 
Tufunulie yaliyo funikwa... Tubainishie yenye utata... Sipati picha siku ya haki/kiama mana iliyosemwa nyeusi kumbe ni nyeupe.
 
The Bold
Niseme tu kwa aina ya uandishi wako unavutia, lakini hili la 911 kama unaamini Osama na kikundi chake ndio walipanga na kutekeleza 911 ni wazi hujafanya utafiti wa kutosha.
911 ni inside job ya siri-kali.
Google )911 inside job or 911 truth utapata taarifa za kujiridhisha kwamba 911 ni 2Pearl habour.

Dunia nzima wanaamini Sep 11 lilikuwa na Shambulio la kigaidi lililofanywa na Al-Qaeda na ww unasema ni Inside Job sijui ni vigezo gani umetumia coz ninachojua ndani ya US zipo sheria zinazowalinda watu kusema chochote na kupata taarifa zozote

Freedom of Information & Freedom of Speech Act ( An Act to amend section 3 of the Administrative Procedure Act, chapter 324, of the Act of June 11, 1946 (60 Stat. 238), to clarify and protect the right of the public to information, and for other purposes.)

So kila mtu anayo haki ya kupata taarifa na kuongea chochote katiba inawalinda
nadhani pia yaliotokea 7 August 1998
10:30 a.m. – 10:40 a.m. Nairobi , Kenya
Dar es Salaam, Tanzania mtasema nayo ni Inside job ?
 
Dar es Salaam, Tanzania ilikuwa nayo ni Inside job ?
Ndiyo, yote yalikuwa inside job, hata ya Kenya na Tanzania.

Umewahi kusikia AFRICOM na malengo yake. Ili kujipenyeza kwenye nchi wanazozitaka ni lazima wafanye "mambo yao". Unajua nini kilitokea na ushirikiano baina ya US na Nchi hizo baada ya matukio hayo?

Fanya utafiti wako.
 
The bold hongera sana kaka kwa kutuletea makala ya ufahamu wapo watakaotumia kila mbinu kukukatisha tamaa lakini usiwajali ndivyo wanadamu walivyo.

Wengine hatupati muda wa kupekua kwenye hayo mavitabu na ma Google but unaturahisishia sana na kutupa hamasa ya kujua mengi kuliko tungesubiri kuja kutafuta wenyewe. Big up Bro
 
Nduyo, yote yalikuwa inside job, hata ya Kenya na Tanzania.

Umewahi kusikia AFRICOM na malengo yake. Ili kujipenyeza kwenye nchi wanazozitaka ni lazima wafanye mambo yao. Unajua nini kilitokea na ushirikiano baina ya US na Nchi hizo baada ya matukio hayo?

Fanya utafiti wako.
Nadhani taarifa zako zitakuwa zinatoka deep web au dark web ambazo watu hawana acces nazo si Visible web ambazo watu wote tunapata taarifa kupitia huko bt nadhani Freedom of information & Freedom of speech Act inafanya kazi vizuri
 
nimesema google 911 truth au 911 inside job utapa habari za kukutosha kujiridhisha kwamba 911 ni inside job. Unahitaji msaada gani tena?
 
Back
Top Bottom