Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa asee.....Lieutenant General The Bold, kesho ni jumatatu... twasubiri muendelezo.
pekua pekua mkuu..humu jukwaani....simkumbuki ni nani...kati ya ..the bold,complex au ontario....alimchambua vizuri sana huyo shushushu...matandu na ukoko....the bold shukran sana but kuna uvumi juu ya osama kuhusishwa na CIA kama member ...but it is according to EDWARD SNOWDEN...
usisahahu kutujuza zaidi juu ya huyu nyumbu make nae ni mtata sana na anazidi kuelezea dunia kuw osama bafo yupo hai ukiachilia na ile Death hoax ya america juu ya kifo cha osama....
inasemekana kuwa Rusia bado ina mhabour Edward snowden after his frew away from CIA America..
vip kuna ukweli hapo..??
ndio umequote uzi wote mkuu ..???Brigedia The Bold mbona mm hunitag bwashee mavituz yako nayakubali ikiwa kama mtu wa kitengo
Uwe unanitag mkuu The boldThanks mkuu,uko vizuri.
Shukrani!
Shukrani sana Blaki Womani I for the big support and being there always..The bold hongera sana kaka kwa kutuletea makala ya ufahamu wapo watakaotumia kila mbinu kukukatisha tamaa lakini usiwajali ndivyo wanadamu walivyo. Wengine hatupati muda wa kupekua kwenye hayo mavitabu na ma Google but unaturahisishia sana na kutupa hamasa ya kujua mengi kuliko tungesubiri kuja kutafuta wenyewe. Big up Bro