Mmanu
JF-Expert Member
- Feb 11, 2015
- 1,775
- 1,011
Yaani hapa nishatandika jamvi langu, nikiwa na maboga yangu, kisamvu pembeni, maji yaliyotoka mtungini yakiwa kwenye kibuyu, na kajiulanzi kwa mbaaaaali nikikamilisha safari nzuri ya maboga huku nikiwa nasubiria sehemu ya 12 ishushwe na mtaalam The bold
Hizi makitu ukiwa unapendelea sana mahoma ya ajabu ajabu unayakwepa kbsa